Sikiliza English ya wakili aliyekuwa mkutanoni na Makonda

Haya mambo haya, Bashite kapelekwa chaka na wana chuga, kapelekewa wakili feki mkutanoni. Wakili huyo alikuwa anaongea kama kameza bakuli la bamia mdomoni.

Kingereza cha wakili huyo ni sawa na mboga ya mlenda jinsi inavyovutika

Hahaaaa yaani nimeshangaa sana, hivi huyu kasomea sheria kweli au hata chuo kasoma kweli? Kuna haja ya kumfanyia vetting upya..!!
 
'Wakili feki' maana yake nini?

Umedhibitisha vipi kwamba huyo ni 'Wakili feki'?

Endapo umedhibitisha 'ufeki' wa uwakili wake kwa COMPETENCE yake ya spoken English, basi wewe pia ni fekero huko 'upstairs'. 😎

-Kaveli-
Leo T.L.S-Arusha, Chama Cha wanasheria Mkoa wa Arusha wana kikao naye chemba, watampa vidonge vyake, wamekana kumjua huyo popoma mwenzako anayeitwa wakili. Hao ndio Makonda huwa anatembea nao na wanamshauri adhalilishe mawakili wa serikali au anyanganye watu mashamba na mali zao
 
Ndio huyo

..huyo ni mwanasheria aliyetokea TLS ambaye anasaidia ktk ziara za Mkuu wa mkoa.

..katika kila mkutano wa Makonda wa kusikiliza kero za wananchi kuna mwanasheria toka TLS ambaye anasaidia ktk masuala ya kisheria yanayojitokeza.

..hao wanasheria wa TLS huwa upande wa wananchi wanaoshtaki, na wale wa serikali ni walalamikiwa.
 
Mkuu, huyo si mwanasheria wala Wakili. I bet with my life! Halafu, msikilizaji ameshindwaje kumjua kuwa huyo ni kanjanja tu?
 
Haya mambo haya, Bashite kapelekwa chaka na wana chuga, kapelekewa wakili feki mkutanoni. Wakili huyo alikuwa anaongea kama kameza bakuli la bamia mdomoni.

Kingereza cha wakili huyo ni sawa na mboga ya mlenda jinsi inavyovutika

Hiyo ni mother tongue TU!sijaona kosa lolote hapo!!!

Ulitaka Aslengeshe kama secretary Clinton nini!!?
 
..huyo ni mwanasheria aliyetokea TLS ambaye anasaidia ktk ziara za Mkuu wa mkoa.

..katika kila mkutano wa Makonda wa kusikiliza kero za wananchi kuna mwanasheria toka TLS ambaye anasaidia ktk masuala ya kisheria yanayojitokeza.

..hao wanasheria wa TLS huwa upande wa wananchi wanaoshtaki, na wale wa serikali ni walalamikiwa.
Hao ni mawakili wa Makonda, anawaamini balaa, kiasi kwamba wakimwambia awatukane mawakili wa serikali, anawatukana
 
Haya mambo haya, Bashite kapelekwa chaka na wana chuga, kapelekewa wakili feki mkutanoni. Wakili huyo alikuwa anaongea kama kameza bakuli la bamia mdomoni.

Kingereza cha wakili huyo ni sawa na mboga ya mlenda jinsi inavyovutika.

Huyu atakuwa partner wa Madeleka kwenye kampuni yao ya uwakili.

Popoma naye anauliza "Application ni hukumu?"

Huyo siyo Wakili wewe, ni kanjanja
 
Kingereza sio lugha yetu..mimi sishangai..hata humu ingekuwa tunachat kwa kingereza tungetafutana humus...
 
Acha kudanganya umma ,sema hatujui lugha sera mbovu za serikali ndo ssb,kingereza ndo lugha tunaitumia sekondar na kuendelea iweje useme sio lugha yetu? Mbona wakenya na wengine wanajua english? Sera mbovu za ccm za kutumia kiswahili shule za msingi kufundishia badala ya kiingereza ndo msingi wa ujinga huu huku watoto wao wakikimwaga kiingereza ktk shule za english medium au nje ya nchi
 
Kumbe unajua tatizo ni mfumo wa elimu sasa unashangaa nini matokeo ndio hayo?!
 
Back
Top Bottom