Sikiliza English ya wakili aliyekuwa mkutanoni na Makonda

Haya mambo haya, Bashite kapelekwa chaka na wana chuga, kapelekewa wakili feki mkutanoni. Wakili huyo alikuwa anaongea kama kameza bakuli la bamia mdomoni.

Kingereza cha wakili huyo ni sawa na mboga ya mlenda jinsi inavyovutika.

Huyu atakuwa partner wa Madeleka kwenye kampuni yao ya uwakili.

Popoma naye anauliza "Application ni hukumu?"

Hapo kuna mother tongue 👅issues
 
Hicho Kiingereza kipo sawa mbona? Watanzania wengi wetu Kiingereza ni Third Language baada ya Kiugha na Kiswahili halafu unataka mtu akiongee kama Mwingereza? Hayo ni mawazo ya watu washamba!!
 
'Wakili feki' maana yake nini?

Umedhibitisha vipi kwamba huyo ni 'Wakili feki'?

Endapo umedhibitisha 'ufeki' wa uwakili wake kwa COMPETENCE yake ya spoken English, basi wewe pia ni fekero huko 'upstairs'. 😎

-Kaveli-
Huyo ni wakili kanjanja tu, hakuna kitu hapo kama hata kusoma kimalkia tu hawezi.
 
Mkuu, huyo si mwanasheria wala Wakili. I bet with my life! Halafu, msikilizaji ameshindwaje kumjua kuwa huyo ni kanjanja tu?
Inashangaza wanaosapoti kuwa huyo ni mwanasheria. Hawezi hata kusoma kiingereza tu, ina maana kwenye kuongea atakuwa empty kabisa.
 
Haya mambo haya, Bashite kapelekwa chaka na wana chuga, kapelekewa wakili feki mkutanoni. Wakili huyo alikuwa anaongea kama kameza bakuli la bamia mdomoni.

Kingereza cha wakili huyo ni sawa na mboga ya mlenda jinsi inavyovutika.

Huyu atakuwa partner wa Madeleka kwenye kampuni yao ya uwakili.

Popoma naye anauliza "Application ni hukumu?"

wasiione ndugu zetu wa Kenya
 
My tanzania ..............😂😂😂😂😂 wonderfuls shall never ends
 
kithembe na lahaja ndio ulemavu wake,

ila bila shaka anaelewa alichokua anasoma. ni sawa na kiingereza cha marekani tu :whatBlink:
 
Haya mambo haya, Bashite kapelekwa chaka na wana chuga, kapelekewa wakili feki mkutanoni. Wakili huyo alikuwa anaongea kama kameza bakuli la bamia mdomoni.

Kingereza cha wakili huyo ni sawa na mboga ya mlenda jinsi inavyovutika.

Huyu atakuwa partner wa Madeleka kwenye kampuni yao ya uwakili.

Popoma naye anauliza "Application ni hukumu?"

Hawa ndiyo ccm huwa inawapeleka kwenye kunegotiate mikataba na Wazungu matokeo yake kila mkataba tunajikuta tumepigwa kitu kizito kichwani
 
Haya mambo haya, Bashite kapelekwa chaka na wana chuga, kapelekewa wakili feki mkutanoni. Wakili huyo alikuwa anaongea kama kameza bakuli la bamia mdomoni.

Kingereza cha wakili huyo ni sawa na mboga ya mlenda jinsi inavyovutika.

Huyu atakuwa partner wa Madeleka kwenye kampuni yao ya uwakili.

Popoma naye anauliza "Application ni hukumu?"

Hivi wakuu wa mikoa wengine hawafanyi kazi ni huyu tu anapendwa makamera?
 
Haya mambo haya, Bashite kapelekwa chaka na wana chuga, kapelekewa wakili feki mkutanoni. Wakili huyo alikuwa anaongea kama kameza bakuli la bamia mdomoni.

Kingereza cha wakili huyo ni sawa na mboga ya mlenda jinsi inavyovutika.

Huyu atakuwa partner wa Madeleka kwenye kampuni yao ya uwakili.

Popoma naye anauliza "Application ni hukumu?"

Aiseee🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️😂😂😂😂😂
 
Kwahio lingua inglesa ndio umetumia kupima uwezo was wakili au vyeti vyake!!?

Wachina wanavoongea kiingereza kwa mother tongue kunawanyima tenda za madaraja!!?

Bongo zozo!!

Hii inatutafuna sana wabongo !tena sana!
Mkuu huyo wakili kichwani sifuri.
Embu msikilize hata anavyojibu maswali.
Kwa ujibuji ule wa maswali ataweza kusimama mahakamani kufanya utetezi kweli!?
 
Haya mambo haya, Bashite kapelekwa chaka na wana chuga, kapelekewa wakili feki mkutanoni. Wakili huyo alikuwa anaongea kama kameza bakuli la bamia mdomoni.

Kingereza cha wakili huyo ni sawa na mboga ya mlenda jinsi inavyovutika.

Huyu atakuwa partner wa Madeleka kwenye kampuni yao ya uwakili.

Popoma naye anauliza "Application ni hukumu?"

msomaji anajua ila anatatizo la ulimi jambo ambalo linawezamkuta mtu yeyote hata makonda anashida ya ulimi
 
Haya mambo haya, Bashite kapelekwa chaka na wana chuga, kapelekewa wakili feki mkutanoni. Wakili huyo alikuwa anaongea kama kameza bakuli la bamia mdomoni.

Kingereza cha wakili huyo ni sawa na mboga ya mlenda jinsi inavyovutika.

Huyu atakuwa partner wa Madeleka kwenye kampuni yao ya uwakili.

Popoma naye anauliza "Application ni hukumu?"

No no no no no no no no huyu Mtumbavu anatudhalilisha wanasheria asee..... Afungiwe na TLS
 
Back
Top Bottom