Mi naona shida ni wadau wote wa Simba; mo, Mangungu, wajumbe wa bodi, msemaji, wachezaji, mashabiki na wachambuzi wao.Mangungu yupo kwa kazi maalumu simba ya kufanya GSM atangaze brand yake kila mahala kwa kusaliti timu
Mangungu akimtumia msemaji Ahmed Ally kuwavika mashabiki kilemba Cha ukoka kwa kuwasifu wachezaji wanaosajiliwa kwa kuwaita majina kama vile straiker refu kuliko goli, mlete mdhingu, nk
Wahujumi wakubwa wa simba ni mangungu, bodi ya wakurugenzi na ahmedy ally
Uko Sahihi kabisa MKUUMangungu yupo kwa kazi maalumu simba ya kufanya GSM atangaze brand yake kila mahala kwa kusaliti timu
Mangungu akimtumia msemaji Ahmed Ally kuwavika mashabiki kilemba Cha ukoka kwa kuwasifu wachezaji wanaosajiliwa kwa kuwaita majina kama vile straiker refu kuliko goli, mlete mdhingu, nk
Wahujumi wakubwa wa simba ni mangungu, bodi ya wakurugenzi na ahmedy ally
Stori za wakosa kazi vijiweniMo na Mangungu wanataka kupinduana, lakini mo ameshaanza kuvuta punzi ya moto ya GSM kibiashara. Baada ya Simba kufungwa mara 5 mfululizo bidhaa za mo zimeingizwa chaka na bidhaa za GSM.
Mangungu anataka kumuondoa mo kutoka Simba kwasababu hatoi pesa kwa wakati. Mfano, hela ya bonus za wachezaji kuelekea derby ameituma tarehe 23 wakati mechi ni ya derby ni 25 June wakati mchakato wa kuandaa timu na ule wakibenki ili kutoa fedha hadi ziwafikie wachezaji unafahamika. Simba inawakosa wachezaji kwenye usajili kwakuwa mo hatoi fedha za usajili kwa wakati.
Sikiliza machawa wa mo vs mangungu vs GSM.
Kwanini mkurugenzi wa wanachama wa Simba SC hamjawahi kumchagua wakati ni takwa la kikatibaMangungu yupo kwa kazi maalumu simba ya kufanya GSM atangaze brand yake kila mahala kwa kusaliti timu
Mangungu akimtumia msemaji Ahmed Ally kuwavika mashabiki kilemba Cha ukoka kwa kuwasifu wachezaji wanaosajiliwa kwa kuwaita majina kama vile straiker refu kuliko goli, mlete mdhingu, nk
Wahujumi wakubwa wa simba ni mangungu, bodi ya wakurugenzi na ahmedy ally
Kaka hawa 3 hapo juu wametajirika/wanaishi kupitia Simba kwa njia mbalimbali. Hao 3 ndio waliompelekesha mwenzao Kidao ambae nae amempotosha Karia kuachana na weledi katika kuongoza mpira.Hahahahaha, siku simba wakijua kwann Yule Swendy Mkwabi aliachia madaraka ndio siku mtaanza kupata mafanikio
Wachawi wa simba ni hawa hapa msizunguke sana
1 .Try again
2.Magori
3.Mohamed Nasoro
4.Asha baraka
Namba 4 mnaeza kumtoa kupitia uchaguzi, ila hao waliobaki ,1,2,3 , ndio wenye timu wamekabidhiwa na tajiri
Umesahau lile streka lenu yikpe?Mijisimba maji mtaita manjota
Hao wa3 ndio wanafanya haya ktk kuwarubuni wana simbaKaka hawa 3 hapo juu wametajirika/wanaishi kupitia Simba kwa njia mbalimbali. Hao 3 ndio waliompelekesha mwenzao Kidao ambae nae amempotosha Karia kuachana na weledi katika kuongoza mpira.
Magori anaamini kwenye mipango badala ya science ya mpira.
Kwanini familia ya Dewj imeiganda Simba kama ruba? wadau wa Simba kwanini hawajiulizi swali rahisi kama hili? Mangungu wanamuonea tu walahi.
Hawa watu ndio wanampiga mo hela zake za usajili na bonus za wachezaji. Wanaleta wachezaji hafifu wa bei ndogo ile waje wacheze kwa kuongezewa imani ya uchawi. Yaani kitengo cha uchawi cha simba kiko active hadi leo. Wakati yanga ya sasa ikiamini kwenye ubora wa wachezaji, dua na kutoa sadaka kwa wenye uhitaji wenzao Simba wamebakia katika zama zileziele za miaka ya 1970s ya uchawi wa mvua, mbuzi na paka mweusi katika kushinda mechi. Simba bado wamebaki kwenye zama zileeee za kusema derby haina mwenyewe, lakini leo hii derby ina mwenyewe.Hao wa3 ndio wanafanya haya ktk kuwarubuni wana simba
Kuhonga wachambuzi, kuhonga wanachama feki kwenda ktk media kumlaumu mangungu
Wkt ukweli wao ndio wanafungu la hela ,wao ndio wanasajiri na kulipa wachezaji
Hahahahaha,umenikumbusha hapo kwenye uchawi, siku moja niko na Idd kajuna,asha baraka na watu wengine sehemu ,ktk yale maongezi kuleta waganga ilikua sehemu ya maongeziHawa watu ndio wanampiga mo hela zake za usajili na bonus za wachezaji. Wanaleta wachezaji hafifu wa bei ndogo ile waje wacheze kwa kuongezewa imani ya uchawi. Yaani kitengo cha uchawi cha simba kiko active hadi leo. Wakati yanga ya sasa ikiamini kwenye ubora wa wachezaji, dua na kutoa sadaka kwa wenye uhitaji wenzao Simba wamebakia katika zama zileziele za miaka ya 1970s ya uchawi wa mvua, mbuzi na paka mweusi katika kushinda mechi. Simba bado wamebaki kwenye zama zileeee za kusema derby haina mwenyewe, lakini leo hii derby ina mwenyewe.
wacha hiyoo kaka, kule Simba kuna jamaa mmoja anaitwa Abdallah Simba, rafiki yake magori. yeye ni mwanasimba kindakindaki, ameniambia kuwa pale simba kuna fungu la fedha la kula viporo. Yaani kama Simba inashiriki kwenye mashindino ya CAF na kuwa na viporo vingiiii, basi liko fungu la fedha linatengwa kwaajili ya kuvila viporo vyote kwa mafanikio. Timu inaendeshwa kwa mission town.Hahahahaha,umenikumbusha hapo kwenye uchawi, siku moja niko na Idd kajuna,asha baraka na watu wengine sehemu ,ktk yale maongezi kuleta waganga ilikua sehemu ya maongezi
Hahahahaha, hiyo ya mission town inajulika ila watu wanajifanya hawaoni,uzuri nimefanya nao kazi kwa ukaribu nawajua vzr, kuna deal huwa naruka naowacha hiyoo kaka, kule Simba kuna jamaa mmoja anaitwa Abdallah Simba, rafiki yake magori. yeye ni mwanasimba kindakindaki, ameniambia kuwa pale simba kuna fungu la fedha la kula viporo. Yaani kama Simba inashiriki kwenye mashindino ya CAF na kuwa na viporo vingiiii, basi liko fungu la fedha linatengwa kwaajili ya kuvila viporo vyote kwa mafanikio. Timu inaendeshwa kwa mission town.