Kuna mix moja umefanya ya kibongo hukuweka nyimbo ya number one ya rayvan, nakapenda hako kasong[emoji38][emoji38][emoji38] ila all in all ni nzuri, jaribu usisahau hits mkuuWakuu naomba.naombeni msaada wa kunitajia kila msanii wa bongoflava unayemkumbuka kichwani miaka hiyo..nyimbo aliyotoka nayo..yaani iliyomtambulish kimuziki...nataka nifanye yangu
Poa poa naifanya asubuh mzee ila kuna mix moja fup niliwekaga..Kuna mix moja umefanya ya kibongo hukuweka nyimbo ya number one ya rayvan, nakapenda hako kasong[emoji38][emoji38][emoji38] ila all in all ni nzuri, jaribu usisahau hits mkuu
Ipo humu..nahisi dk ya 19 hivKuna mix moja umefanya ya kibongo hukuweka nyimbo ya number one ya rayvan, nakapenda hako kasong[emoji38][emoji38][emoji38] ila all in all ni nzuri, jaribu usisahau hits mkuu
Poa poa mkuu tunakushukuruKama bado ulikuwa hujadownload club banger songs za weekend hizi hapa nimekusogezea
Its all about musix
Dvj nasmiletz--amapiano club bangers mixtape vol 1
by Dvj nasmile on hearthis.at | Otherhearthis.at
Sister P - Hey DjWakuu naomba.naombeni msaada wa kunitajia kila msanii wa bongoflava unayemkumbuka kichwani miaka hiyo..nyimbo aliyotoka nayo..yaani iliyomtambulish kimuziki...nataka nifanye yangu
-Renee LamiraWakuu naomba.naombeni msaada wa kunitajia kila msanii wa bongoflava unayemkumbuka kichwani miaka hiyo..nyimbo aliyotoka nayo..yaani iliyomtambulish kimuziki...nataka nifanye yangu
Mkuu ubarikiwe sana sana.dah umetisha..ila steeve hapo naona kama wa juz juz tu-Renee Lamira
-Salu T
-Hongera
-Hard Mad
-Imam Abass
-Pasha
-Sonell
-Spack
-Zadao
-Steve RnB
-Stoppa Rhymes
-Planet 2000
-Simple X & Black Rhyno
-Rado
-Suma G
-TMK Majita
-Vumi
-Wandago
-Waswahili
-Yaki
Mac Dizzo
-Makamua & Q Jay
-Manzese Crew
-Jita Man
-O Ten
-OCG
-Noorah
-P1 Black
-E Smile
-I Two Kachaa
-Lil Gray
-Jacky Marie
-Bonta
-LWP
-M 2 The P
-Easy I
-Jose Mtambo
-Joslin
-Sister P
-Estaam
-Fatma wa
Playlist kali sana hii..ngoja nitulie nayo bosiSister P - Hey Dj
GWM - Jela
Kali P - Imekaa vibaya
Zay B - Gado
Wachuja nafaka - Ya leo kali
Fagio la chuma - Fagio la chuma
K Sal - Mwana mkiwa
Mwana Fa - Safi hiyoo
Sugu - Sugu moto chini
Dataz - Mume wa mtu
Tmk majita - twende
AY - Raha tu
J Moe - Bishoo
University corner - T shirt na jeans
Gwangwe Mobb - tunajirusha
Afande Selle - PESA
Fid Q - Huyu na Yule
Man Dojo &Domo kaya - nikupe nini
Ebby Skillz - Nilikupenda
K - Basil - Riziki
Dudubaya - Nakupenda tu
Dudubaya - kunguru hafugiki
Solo thang - mambo ya pwani
Bab Lee - kizizi
Farida - Pesa
Mr. Mi mmasai
Poa poa bosiMkuu hongera sana kaz ni njema,
Ila naomba uongezee Afro hip hop especially zile za kenya akina jua Kali,nonini,nameless,wahoo,E.A.bashnet cool,aman,bebe cool,prezo na wakali kibao
Naomba ufanye kama ragga mafin fulan hapo juu haina jingles nyingi
Nawasilisha
Utanitag ukiitupiaPlaylist kali sana hii..ngoja nitulie nayo bosi
Nimesau ni yule Steve aliyeimba na akili the brain kwenye ngoma ya ReginaMkuu ubarikiwe sana sana.dah umetisha..ila steeve hapo naona kama wa juz juz tu
Ok steve 2kNimesau ni yule Steve aliyeimba na akili the brain kwenye ngoma ya Regina
YapOk steve 2k
Pamoja...jamaa si alichomwa kisu kisa ugomv wa madem naskia
Shukran mkuuKazi safi sana hiyo keep it real