Sikiliza hapa Dj mixing /non stop

Sikiliza hapa Dj mixing /non stop

Wakuu naomba.naombeni msaada wa kunitajia kila msanii wa bongoflava unayemkumbuka kichwani miaka hiyo..nyimbo aliyotoka nayo..yaani iliyomtambulish kimuziki...nataka nifanye yangu
Kuna mix moja umefanya ya kibongo hukuweka nyimbo ya number one ya rayvan, nakapenda hako kasong[emoji38][emoji38][emoji38] ila all in all ni nzuri, jaribu usisahau hits mkuu
 
Kuna mix moja umefanya ya kibongo hukuweka nyimbo ya number one ya rayvan, nakapenda hako kasong[emoji38][emoji38][emoji38] ila all in all ni nzuri, jaribu usisahau hits mkuu
Poa poa naifanya asubuh mzee ila kuna mix moja fup niliwekaga..
 
Wakuu naomba.naombeni msaada wa kunitajia kila msanii wa bongoflava unayemkumbuka kichwani miaka hiyo..nyimbo aliyotoka nayo..yaani iliyomtambulish kimuziki...nataka nifanye yangu
Sister P - Hey Dj
GWM - Jela
Kali P - Imekaa vibaya
Zay B - Gado
Wachuja nafaka - Ya leo kali
Fagio la chuma - Fagio la chuma
K Sal - Mwana mkiwa
Mwana Fa - Safi hiyoo
Sugu - Sugu moto chini
Dataz - Mume wa mtu
Tmk majita - twende
AY - Raha tu
J Moe - Bishoo
University corner - T shirt na jeans
Gwangwe Mobb - tunajirusha
Afande Selle - PESA
Fid Q - Huyu na Yule
Man Dojo &Domo kaya - nikupe nini
Ebby Skillz - Nilikupenda
K - Basil - Riziki
Dudubaya - Nakupenda tu
Dudubaya - kunguru hafugiki
Solo thang - mambo ya pwani
Bab Lee - kizizi
Farida - Pesa
Mr. Mi mmasai
 
Wakuu naomba.naombeni msaada wa kunitajia kila msanii wa bongoflava unayemkumbuka kichwani miaka hiyo..nyimbo aliyotoka nayo..yaani iliyomtambulish kimuziki...nataka nifanye yangu
-Renee Lamira
-Salu T
-Hongera
-Hard Mad
-Imam Abass
-Pasha
-Sonell
-Spack
-Zadao
-Steve RnB
-Stoppa Rhymes
-Planet 2000
-Simple X & Black Rhyno
-Rado
-Suma G
-TMK Majita
-Vumi
-Wandago
-Waswahili
-Yaki
Mac Dizzo
-Makamua & Q Jay
-Manzese Crew
-Jita Man
-O Ten
-OCG
-Noorah
-P1 Black
-E Smile
-I Two Kachaa
-Lil Gray
-Jacky Marie
-Bonta
-LWP
-M 2 The P
-Easy I
-Jose Mtambo
-Joslin
-Sister P
-Estaam
-Fatma wa
 
-YP & Y Dash
-Chelea Man
-Chiku Keto
-Chibwa
-D Knob
-Mez B
-Daz Nundaz
-Danny Msimamo
-Squeezer & Dataz
-Dk Leader
-Sir-leh
-Mabaga Fresh
-Mad Max
-Mac Dizzo
Alicom
-Mishi
-Ali Mbongo
-Angie
-Baucha
-BDP(Big Dog Posse)
-Benja Wa Mambo Jambo
-Blacc
-Caz T & Sarah
-Bon Cruz
-B Town Clan
-Bob Rudala
-Buibui
-Bwana Misosi
 
Mkuu hongera sana kaz ni njema,
Ila naomba uongezee Afro hip hop especially zile za kenya akina jua Kali,nonini,nameless,wahoo,E.A.bashnet cool,aman,bebe cool,prezo na wakali kibao

Naomba ufanye kama ragga mafin fulan hapo juu haina jingles nyingi
Nawasilisha
 
-Renee Lamira
-Salu T
-Hongera
-Hard Mad
-Imam Abass
-Pasha
-Sonell
-Spack
-Zadao
-Steve RnB
-Stoppa Rhymes
-Planet 2000
-Simple X & Black Rhyno
-Rado
-Suma G
-TMK Majita
-Vumi
-Wandago
-Waswahili
-Yaki
Mac Dizzo
-Makamua & Q Jay
-Manzese Crew
-Jita Man
-O Ten
-OCG
-Noorah
-P1 Black
-E Smile
-I Two Kachaa
-Lil Gray
-Jacky Marie
-Bonta
-LWP
-M 2 The P
-Easy I
-Jose Mtambo
-Joslin
-Sister P
-Estaam
-Fatma wa
Mkuu ubarikiwe sana sana.dah umetisha..ila steeve hapo naona kama wa juz juz tu
 
Sister P - Hey Dj
GWM - Jela
Kali P - Imekaa vibaya
Zay B - Gado
Wachuja nafaka - Ya leo kali
Fagio la chuma - Fagio la chuma
K Sal - Mwana mkiwa
Mwana Fa - Safi hiyoo
Sugu - Sugu moto chini
Dataz - Mume wa mtu
Tmk majita - twende
AY - Raha tu
J Moe - Bishoo
University corner - T shirt na jeans
Gwangwe Mobb - tunajirusha
Afande Selle - PESA
Fid Q - Huyu na Yule
Man Dojo &Domo kaya - nikupe nini
Ebby Skillz - Nilikupenda
K - Basil - Riziki
Dudubaya - Nakupenda tu
Dudubaya - kunguru hafugiki
Solo thang - mambo ya pwani
Bab Lee - kizizi
Farida - Pesa
Mr. Mi mmasai
Playlist kali sana hii..ngoja nitulie nayo bosi
 
Mkuu hongera sana kaz ni njema,
Ila naomba uongezee Afro hip hop especially zile za kenya akina jua Kali,nonini,nameless,wahoo,E.A.bashnet cool,aman,bebe cool,prezo na wakali kibao

Naomba ufanye kama ragga mafin fulan hapo juu haina jingles nyingi
Nawasilisha
Poa poa bosi
 
Back
Top Bottom