Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
Kuna mix moja umefanya ya kibongo hukuweka nyimbo ya number one ya rayvan, nakapenda hako kasong[emoji38][emoji38][emoji38] ila all in all ni nzuri, jaribu usisahau hits mkuuWakuu naomba.naombeni msaada wa kunitajia kila msanii wa bongoflava unayemkumbuka kichwani miaka hiyo..nyimbo aliyotoka nayo..yaani iliyomtambulish kimuziki...nataka nifanye yangu