dvj nasmiletz
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 2,079
- 2,254
- Thread starter
- #21
Yap inawezekana..Asante Sana Dj.. kwakuniremveshea siku...
Je Naweza nikakutumia track ukazifanyia Mixing?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap inawezekana..Asante Sana Dj.. kwakuniremveshea siku...
Je Naweza nikakutumia track ukazifanyia Mixing?
Nimeidownload. Ila ungepunguza kidogo scrutching kwenye nyimbo za dini. Si unajua znahitaji utulivu kuzisikia ...Pamoja mkuu.umedownload eeh
Sawa kuna vol 2 naifanya mpk jpil itakuwa tayar..Nimeidownload. Ila ungepunguza kidogo scrutching kwenye nyimbo za dini. Si unajua znahitaji utulivu kuzisikia ...
All in all unafanya kazi nzuri Sana.
Asante kwa hilo, pia nilikua nashauri ktk mixing zako upunguze madoido kama ya dj wa redio anapokimbizana na muda.Yap inawezekana..
Sawa mkuu usiache kutupia hapaSawa kuna vol 2 naifanya mpk jpil itakuwa tayar..
Kweli asitusahauHebu tupia country moja la madav dav tu
Asante..dah sema nilishawah fanya kaz redio.ndo maana bado nina hako katabia...next epsods nitazingatia hilo mkuuAsante kwa hilo, pia nilikua nashauri ktk mixing zako upunguze madoido kama ya dj wa redio anapokimbizana na muda.
All in all uko vizuri.
Sawa mkuu..inakuja soonKweli asitusahau
Asant kwa ushauri..nitazingatiaKaz iko njem a sana hongera ila madoido pungza
Sawa mkuu.nashukuru kwa ushauriKazi nzuri, kwenye za gospel punguza madoido
PamojaSafi Sana mkuu
Au sio..basi ngoja niwaandae kina dolly parton,kenny rog,juddy b, n wengHebu tupia country moja la madav dav tu
Ok nitarekebisha hiyo..nadhan nilisahau kutoa hiyo private tick..ila hizo zinginen ziko poa mkuu jaribu kuzichukua