Sikiliza hapa Dj mixing /non stop

Sikiliza hapa Dj mixing /non stop

Ndo nangusha apa ngoja nikute boko
Screenshot_20210211-183430~3.jpg
 
Madj wa kenya wapo vizuri sana huchoki kusikiliza mixing zao na wapo very updated sana na skillz za kutosha...Nilianza kuwafahamu Kipindi kile Star Tv wanarusha kipindi cha Supremacy sound ambacho kilikua kinapiga nyimbo za Reggae na Riddims na Dj alikuwa ni Simple simon Mara ya kwanza nilidhani ni jamaa wa Jamaica kwa jins anavozipatia Reggae n Riddims ...Ikabid nimtafute youtube ndipo nikagundua ni mkenya toka siku hiyo nimekuwa mpenz wa mixing za madj wa kenya eg.Dj Kanji,Dj lyta,Dj ken b,Dj Shinski

Mdogo mdogo nadhan na sie madj wetu watafikia viwango vya Madj wa kenya...Nashauri madj wetu wajitahid kuwa na collection ya nyimbo na videos zenye high quality (320kbps),Watumie mixing softwares za kisasa eg.Serato au Sony vegas,Pia wasiwe wavivu kujifunza skills mpya toka kwa pro Djs wenzao...Dj nasmiles nakutakia mafanikio mema nipo hapa nasikiliza gospel mixing yako 🙂
 
Mkuu samahani sana, ujue hili jina lako nimekua nikilisikia miaka kadhaa ktk redio flani hivi, je ndo wewe Mkuu?
Inawezekana ..Nishafanya kaz Ruvuma fm? Ila niliacha kwa sasa ni dj wa clubs na matamasha..sijajua wewe unaongelea radio gani
 
Madj wa kenya wapo vizuri sana huchoki kusikiliza mixing zao na wapo very updated sana na skillz za kutosha...Nilianza kuwafahamu Kipindi kile Star Tv wanarusha kipindi cha Supremacy sound ambacho kilikua kinapiga nyimbo za Reggae na Riddims na Dj alikuwa ni Simple simon Mara ya kwanza nilidhani ni jamaa wa Jamaica kwa jins anavozipatia Reggae n Riddims ...Ikabid nimtafute youtube ndipo nikagundua ni mkenya toka siku hiyo nimekuwa mpenz wa mixing za madj wa kenya eg.Dj Kanji,Dj lyta,Dj ken b,Dj Shinski

Mdogo mdogo nadhan na sie madj wetu watafikia viwango vya Madj wa kenya...Nashauri madj wetu wajitahid kuwa na collection ya nyimbo na videos zenye high quality (320kbps),Watumie mixing softwares za kisasa eg.Serato au Sony vegas,Pia wasiwe wavivu kujifunza skills mpya toka kwa pro Djs wenzao...Dj nasmiles nakutakia mafanikio mema nipo hapa nasikiliza gospel mixing yako 🙂
Nashukuru bro..hiyo mix pia ni ya video niliiconvert kuwa mp3 ili iwe rahis kuiweka mtandaon..coz video ina mb870 sasa kuipload ni shida
 
Mkali nikifungua link naambiwa sina permission....Nifanyaje

Private Track​

We're sorry, but you have no rights to hear this track.
 
Back
Top Bottom