Sikiliza hapa Dj mixing /non stop

Sikiliza hapa Dj mixing /non stop

Kule kenya Kuna DJs mixing nzuri Sana na ni shabiki mkubwa wa zile kazi. Hadi nikawa najiuliza wabongo tunakosea wapi.


Ila huyu DJ nimemkubali. Nakuomba Tena Nyimbo za Dini ambazo ziko emotional acha kuweka mbwembwe za Disco. Tafuta mbwembe ambazo ziko emotional pia.

Watu tunahitaji nyimbo za kutufariji enzi hizi za vyuma kukaza.
Asante mkuu.nimeupokea ushaur kwa mikono miwili..utafurahi
 
Rnb playlist zipo tayari nishazi sort kwenye folder maalum..bado kuzimix tu..kesho jion itakuwa hapa

Sawa nasubiri Oldies R&B nimezimiss sana ,Aboubakar Sadiq kwa fujo alikuwa anazigonga sana enzi ya chombeza.

Pia Oldies za 2003 kushuka chini za Bongo fleva kama unamjua DJ JD anaweza akakupa mapini ya zamani.
 
Sawa nasubiri Oldies R&B nimezimiss sana ,Aboubakar Sadiq kwa fujo alikuwa anazigonga sana enzi ya chombeza.

Pia Oldies za 2003 kushuka chini za Bongo fleva kama unamjua DJ JD anaweza akakupa mapini ya zamani.
Mariah care
Aaliyah
Ll Cool j
ashanti
mel c
usher
phaller
sisqo

Kama hao jamaa au?
 
Mkuu samahani kwa usumbufu ila usitusahau na ukanda huu. List kama hiyo ila hizi ni baadhi.

Gatho bevens - azalaki awa
Oliver ngoma - muetse
Sweet Africa meddley vocal
Marijani rajabu -mwanameka
Marijani rajabu - mayasa
Dr remmy - mariamu
Pasada -amar
Awilo longomba -carolina
Kanda bongo man -wallow
Tshala muana- dezo dezo
Bozi boziana -jeu muke
Diblo dibala -matchatcha
Extra musica -Etamajo
Franco - lisanga ya banganga
Kanda bongoman -isambe
Kofi olomide -loi
Oliver ngoma- Lina
Madilu system -nzele
Madilu system- virce versa
Marijani- dunia uwanja wa fujo
Mbilia bel -nadina,napika,wendenda,beyanga
Nyboma- Nina
Nyboma- amour pendu
Oliver ngoma icole
Sam mangwana -transberos

Cc Prisonerx ,Azarel ,joseph1989
Kichwa Kichafu ,Mbwa dume na wengine wote
 
Back
Top Bottom