Sikiliza kijana, mapenzi ni utapeli kwa mwanaume

Back in business😄😄😄😄😄 anytime nakutana na nondo kama hizi huwa napata mzuka sana asiyeelewa aendelee kukaza kichwa kwani wajinga sikuzote hutumiwa kama mifano rejea na werevu,,,igweeeeeeee!!!!Chief NATAFUTA AJIRA Piga nyundo mpaka waelewe naam namna hiyo straight forward!!!!!

Mwanaume kabisa unaumizwa na mapenzi??!!, mwanaume unaumizwa na kusalitiwa are you really serious??!!😄😄😄😄 unajiua kabisa kisa nyapu🤔


#KATAA NDOA INAONGOZA 3 BILA🤗
 
Justin beiber yule pale alizishika kwenye umri mdogo na alitoka mpaka na kina kim kardashian kiufupi hayana muongozo
Sasa wangapi huwa wanazishika kwenye umri mdogo kama kama uyo beiber, hapa tunaongelea mtiririko wa kawaida wa hatua za kimaisha.
 
Haya mambo yanaeleweka ni watu kama nyie tu ndio mnataka kufanya yaonekane magumu. Kwamba mwanaume mwenye mali na ambae masikini wanathaminika sawa kwenye jamii?

Huwa nashangazwa sana na watu kama nyie mnataka kupindisha ukweli ili ndo muonekane wema au wastaarabu.
 
Even a fool learns something once it hits him.
 
Nimpende kama navyojipenda mmi are we serious..?
 
Huyo Natafuta Ajira ni kiboko ya Malaya wa JF, ndomaana nyuzi zake vidada vya kimalaya malaya huwa havisogei, Jadda mwenyewe hagusagi nyuzi za jamaa.
Huwa unapitia kweli nyuzi zake zote au ndio umeamua kuandika ili mradi kujifurahisha tu, katika wanaume wa jf ambao nawaogopa kwa hoja zao huyo wala hayupo na hatawahi kuwepo, mara nyingi sana huwa anakimbia hoja zangu kwa kisingizio kwamba naandika magazeti hivyo hasomi wala hajibu, kwahiyo nami nimeamua kuachana naye lakini yeye mwenyewe anajua akitaka battle na mimi hoja kwa hoja nani atamkimbia mwenzake, kwa kifupi jamaa huwa hana hoja zozote zaidi ya kulialia tu kila siku kuhusu wanawake
 
Kuna tofauti kati ya kukimbiwa na kupuuzwa. Unatoka nje ya context, unataka ligi, unaandika mambo ambayo hayana uhalisia halafu unataka mimi nijishughukishe na wewe. Siwezinkupoteza muda wangu nitakachokifanya ni kukupuuza tu.
 
Huu uziungekuja wakati wangu..nisingeangaika nayale mangumbale..yakanirudisha nyuma namna ile..ilabado mda upo kupitia nyuz hii
 
Huu uziungekuja wakati wangu..nisingeangaika nayale mangumbale..yakanirudisha nyuma namna ile..ilabado mda upo kupitia nyuz hii
Wakina baba na kaka zetu wa kizazi cha nyuma kutoka tulichopo kuna sehemu waliyumba kidogo katika kutu-coach watoto na wadogo zao wa kiume. Ndio maana tumefika hapa kwenye kizazi cha vijana wa kiume legelege, wasiojua wajibu wao na wamekubali kuzishuka thamani zao kwa kumezwa na mfumo jike.

Vijana ambao angalao tumesanuka basi tusirudie kosa walilolifanya hawa washua na mabroo waliotutangulia. Tumewaandae wadogo na watoto wetu wa kiume kuja kuwa wanaume halisi wanaoijua thamani yao
 


MKUU sipingi mantiki yako Kwamba MWANAUME mwenye kipato ana thamani kubwa kwa DUNIA kuliko asie kua na mali, Lakini Kama utakua mtu wa kumfanya tafiti kuhusu maswala ya kijamii hasa NDOA utagundua kwamba NDOA nyingi zinavunjika huku MWANAUME akiwa na kipato na still NDOA inavunja


Kua na kipato/mali bila HEKIMA ni Upumbavu na mwisho wake ni kuangamia, kua na kipato/mali + HEKIMA utaishi kwa wingi wa siku na kufurahia MAISHA ya NDOA na familia


Kamwe Mali haiwezi kukufikisha Mahali, bali hali Ndio itakufikisha Mahali👉 take this in your mind and it gonna help u alot
 
Unajua tukiongelea hulka ya binadamu bila shaka wengi wetu tuna msukumo wa kufanya mema. Hata kulinganisha thamani za watu kwa mali sio uungwana lakini ndio jamii tunayoishi iyo inabidi tujipachike tu hapo kwenye mfumo.

Mtazamo wako ni mzuri, unaubiri mema lakini ukiutumia kwenye dunia ya leo iliyojaa binadamu wasaliti, wabinafsi na washenzi nakuakikishia utapata tabu sana.
 
Umeshawahi kujua wanayopitia wanaume masikini usiombe ni manyanyaso bila tumaini bila msaada usiombe kabisa umasikini hakuna binadamu atayekujali ukiwa katika hiyo hali zaidi ya Mungu tu na wazazi wako
 
Umeshawahi kujua wanayopitia wanaume masikini usiombe ni manyanyaso bila tumaini bila msaada usiombe kabisa umasikini hakuna binadamu atayekujali ukiwa katika hiyo hali zaidi ya Mungu tu na wazazi wako
Dunia haijali chochote kuhusu mwanaume. Tumetungiwa mpaka misemo ya kitanda hakizai haramu, mwanaume kaumbwa mateso n.k hii yote ni kualalisha unyonyaji, ukandamizaji, ubaguzi, ulaghai na mateso ya kisaikolojia anayopitia mwanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…