Sikiliza kijana, mapenzi ni utapeli kwa mwanaume

Sasa jamaa si bora huyo wa miaka 30's utoto umepungua na akili imekaa sawa , hawa watoto hawana cha maana zaidi utakufa mapema tu .
Mtoa mada anamaanisha ukichukua wa 30+ atakuwa kapiga bingo mara mbili wakati wewe ujakutana na brand new maishani mwako. Anamaanisha nawewe chukua mashine mpya ije izengue kwa wengine. Inamaana we ukichukua used wakati wewe uko mpya ni kosa
 
Pole sana
Leo ni jumapili
Jitahid upate muda wa kupumzika
 
Mtoa mada anamaanisha ukichukua wa 30+ atakuwa kapiga bingo mara mbili wakati wewe ujakutana na brand new maishani mwako. Anamaanisha nawewe chukua mashine mpya ije izengue kwa wengine. Inamaana we ukichukua used wakati wewe uko mpya ni kosa
Fair play
 
Huyo janaa ana hoja aisee tuwe tu wakweli.
 
Umeshawahi kujua wanayopitia wanaume masikini usiombe ni manyanyaso bila tumaini bila msaada usiombe kabisa umasikini hakuna binadamu atayekujali ukiwa katika hiyo hali zaidi ya Mungu tu na wazazi wako


Naelewa Mkuu haya uliyosema ni ya Kweli yote na kiukweli MWANAUME usipopitia haya mapito ya kudharauliwa na kusemwa B'se huna kitu mafanikio yako hayawezi kuwa dhabiti 👉mapito yetu hasa magumu Ndio ngazi ya Kesho yetu iliyo Njema, ukilijua na kulifahamu hili kamwe huwezi kuwachukia wale wanaokudharau ukiwa huna kitu B'se unakua unaiona Kesho yako iliyo njema NDANI yako na ukifanikiwa huwezi kuwaacha wale waliokudharau na kukubedha wakati ulipo kuwa huna kitu na ukiwa na Maono dhabiti wakati wa kudharauliwa na kuchekwa wewe utafurahi Moyoni kwani unaiona kesho yako iliyo Njema


Yusufu moja ya MTOTO pendwa wa Yakobo sio alichekwa au kudharauliwa huyu alichukiwa na ndugu zake hata kutaka kumuua akiwa hana kitu chochote isipokuwa Kesho ambayo MUNGU alikuwa amemuonesha na Yeye kwenda kuwaambia Ndugu zake na wazazi wake na wakamchukia hata kumuuza na alipita katika mapito magumu Sana ila kwasababu aliiona Kesho yake iliyo njema hakutaharika na badae akaja kuwa Mkuu wa nchi ya misri na wale Ndugu zake walikuwa wanataka kumuua na wakaishia kumuua aliwasaidia wala hakuwachukia


Mapito yako hasa magumu ni shahada ya shangwe furahi katika nyakati hizo kwani huwa si za kudumu ni msingi wa kesho yako iliyo njema hata Msingi wa nyumba IMARA huanza kujengwa kwa mawe na sio tofali
 
It always an enjoyable and controlled game untill it comes your turn to face pains
The line we should lean on like a shoulder..
We should cry watching it daily not to forget.
Every body has the power to fist the wall to pieces untill the hand is brocken and it no longer holds even a paper.

Thanks bro Natafuta Ajira Devil two..
"Ushetani uendelee" by devil one promax..
 
One of the biggest thing I've noticed in your comment is the brain you possess..




A very dull brain,, and this is powered by brainwashing attained from SHOGALIC EDUCATION from western zones.
 
Mkuu mwanamke NI Kama mavi ya ngo'mbe hajulikani anataka nini mavi ya ngo'mbe ukiyaona njiani Kama yamekauka tia mguu ndo utajua hakuna rangi utaacha kuona
Hivi kwanza akili yako imewaza nini kurelate hawa viumbe na hayo mavi ya ng'ombe?
Ujue nimecheka kijinga sana..
Maana ni kitu practical nishaifanya yaani kwa wanawake na hiyo ya mavi ya ng'ombe..
 
Umeandika kweli!

Wanaume wengi tunabadilisha mitazamo juu ya wanawake baada ya kupigwa matukio.

Na ikikutokea hiyo huwezi kuwaangalia kwa huruma. Unaishi nao kimkakati kweli.
 
Hakika nawaambieni,
Kila mwenye sikio na asikie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…