Sikiliza kijana, mapenzi ni utapeli kwa mwanaume

Umeandika kweli!

Wanaume wengi tunabadilisha mitazamo juu ya wanawake baada ya kupigwa matukio.

Na ikikutokea hiyo huwezi kuwaangalia kwa huruma. Unaishi nao kimkakati kweli.
Badala ya kuchukua taadhari mapema sisi tunajiachia na kujitoa kwa hali na mali kwenye mahusiano. Kumbe hatupendwi tunatumika tu. Huwa tunakulupuka baada ya kupigwa nyundo ya utosi
 
Naam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…