Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Tanganyika inaibuka na hoja na inapotea kwenye karatasi kila mwaka. Litakapomaliza suala la DP World na Tanganyika inakwenda kupotea.Mimi sio jamaa,mimi ni Mtanganyika mzalendo wajinga wajinga wote wanashobokea udini siwapendi wewe ukiwemo.
Ni hoja yenye msingi wa watu waliokula kuku sana wakati wa JPM na alipoondoka wakajikuta wakipoteza umuhimu na ushawishi serikalini.