Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Tanganyika inaibuka na hoja na inapotea kwenye karatasi kila mwaka. Litakapomaliza suala la DP World na Tanganyika inakwenda kupotea.Mimi sio jamaa,mimi ni Mtanganyika mzalendo wajinga wajinga wote wanashobokea udini siwapendi wewe ukiwemo.
Hao ni maarufu kama sukuma gangTanganyika inaibuka na hoja na inapotea kwenye karatasi kila mwaka. Litakapomaliza suala la DP World na Tanganyika inakwenda kupotea.
Ni hoja yenye msingi wa watu waliokula kuku sana wakati wa JPM na alipoondoka wakajikuta wakipoteza umuhimu na ushawishi serikalini.
Mwambie huyu Mzee wa upinde mjinga sana,hana maana udini umemtia ujinga.Kwa taarifa yako kwa sasa pesa iko mbele ya hizo dini za michongo. Ukiendekeza huo ukhanithi wa dini unaishia kuonekana mshirikina tu. Ungekuwa ni muumini wa dini kweli usingekesha hapa kuendesha uhasama wa kipuuzi, maana wala dini haifundishi utoto unaoletaga hapa.
Kumbe jamaa ni rangi 7?Mwambie huyu Mzee wa upinde mjinga sana,hana maana udini umemtia ujinga.
Tunawaelewa ninyi, hamtupi shida.
Ushaanza unafiki wako wenye udini.Tunawaelewa ninyi, hamtupi shida.
Qur'an 2:
120. Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu. 120
Qur'an 3:Ushaanza unafiki wako wenye udini.
Naona leo umeamua kueneza udini wako vilivyoQur'an 3:
19. Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu. 19
Wamekutana na sada yake Fayza wanaligeuza jamvi la siasa kuwa sehemu ya ibadaWewe tatizo lako ni udini tu na kusema kweli limekushushia hadhi sana. Hili ni jukwaa la michezo hizo siasa zako peleka huko huko ulikozitoa.
cc: The Bosscc:Fayza Fox
Leo hii tutashuhudia mengi kuoka kwa Fayzacc: The Boss
Kama unaona wivu kuhusu make up na wanja,na wewe paka hizo make up na wanja tukuone,una akili fupi kama mkia wa mbuzi,Fursa kwa mjinga aliyeshindwa kujibu hoja za watanganyika kuhusu ule mkataba wa hovyo wa bandari, badala yake akaamua kuwazibia masikio.
Sasa ndio ameamua kujitokeza mbele za watu kama pambo, akiwa amejipaka make up na wanja, anaenda kujichekesha pale uwanjani akijidanganya harakati za kukomboa bandari zetu zitaishia pale, hajui akitoka uwanjani atakutana na moto ule ule.
Ana hasira katoka lupango na ukurutuLeo hii tutashuhudia mengi kuoka kwa Fayza
Aisee huyu bimkubwa ananuka udini mwili mzima.Ana hasira katoka lupango na ukurutu
Kama unaona wivu kuhusu make up na wanja,na wewe paka hizo make up na wanja tukuone,una akili fupi kama mkia wa mbuzi,
Kumbe lile tukio lilikuumiza kiasi hicho! endelea kuteseka na maisha yako ya chuki za kijinga,angalia tu usije ukapata vidonda vya tumbo.
Kama unaona wivu kuhusu make up na wanja,na wewe paka hizo make up na wanja tukuone,una akili fupi kama mkia wa mbuzi,
Kumbe lile tukio lilikuumiza kiasi hicho! endelea kuteseka na maisha yako ya chuki za kijinga,angalia tu usije ukapata vidonda vya tumbo.