Sikio la kufa la wasanii wetu

Sikio la kufa la wasanii wetu

Wasaani wanapashwa kuwa managed. Ili wao kazi yao ibaki ni muziki tu. Kila siku ni mazoezi mwanzo mwisho na kutunga. Mfano mzuri P Square. Na Platinumz si ana manager wake?

anae meneja wake babu tale
 
anae meneja wake babu tale

Diamond kajipanga sana...ana meneja anaezijua fitna za muziki babu tale(sio mfadhili maana ye ndio anamlipa),ana madensa,ana mpiga picha na msimamizi wa social network kifesi,ana kuwadi professional one halima kimwana,ana mdananda specialist rj,ana baunsa wake (maalum kuwatisha wazito akienda kuongea biashara) nk nk wote hawa wanaishi mjini na kuwa na jeuri sababu ya dimonde.
 
Mziki ni kama career yoyote ambapo kila mmoja huwa ana jinsi yake ya kutoka..
Tunawaona wanamziki ambao kila kitu kipo upande wao(Americans) kwamfano...
Lakini bado huwa hawapo sawa katika suala la mafanikio.
Kuna watu kama footballers wote unaweza kuta wanacheza timu moja but still mafanikio yao sio sawa...kuna watu wana vipaji kuliko wengine hilo lazima tukubali.
 
Anyway ni nyota tu imewaka kwa diamond lakin kwenye video mavazi yao wote ya aina moja mfano wote wanavaa visuluali vya kubana kama vya dada zao it's means skin jeans
 
Inaitwa NDAGUSHIMA kaifanyia UK na yule MODEL WA KIDHUNGU, Video nzuri lkn mwisho Kaharibu kajaza wahuni wenzake wa kinondoni wanadance tu, NYIMBO Yenyewe Ushuzi mtupu, auna mvuto wala Ladha , Bora NARUDI KIJIJINI YA Best Nasso..

Uongo mbaya zaidi ya nai nai nyimbo nyingine naona kama jamaa anapiga porojo tu
 
tena anaongoza kwa kura kwenye kundi lake

Zile sio kura za ushindi ni kituo kimoja cha radio ambacho kimeamua kufanya kura zake kuona nani atakayeshinda, wanaochagua washindi wa BET ni lile jopo la watu 500 akiwemo Vanessa Mdee, Ndio wenyewe wanapiga kura na kuamua nani mshindi, ingekuwa bora zaidi kama mngeendelea kumpigia kura kwenye MAMA ili na huku asikoae tuzo na kutengeneza hashtag zenye jina lake like #BETFORDIAMOND nk kwenye social network kama twitter
 
Diamond kajipanga sana...ana meneja anaezijua fitna za muziki babu tale(sio mfadhili maana ye ndio anamlipa),ana madensa,ana mpiga picha na msimamizi wa social network kifesi,ana kuwadi professional one halima kimwana,ana mdananda specialist rj,ana baunsa wake (maalum kuwatisha wazito akienda kuongea biashara) nk nk wote hawa wanaishi mjini na kuwa na jeuri sababu ya dimonde.
kwani ni wapi uliambiwa meneja wa mwanamuziki ni mfadhili?
 
Sikio la kufa kabisa hili.

James Truslow Adams said in 1931 that "life should be better and richer and fuller for everyone, with opportunity for each according to ability or achievement regardless of social class or circumstances of birth." Do we have this in our country?

Wapo wasanii ambao hawana abilities lakini wanavuma kutokana na ku-belong kwenye social class fulani or they have the opportunities to meet those in the corridors of power. Others they can achieve better but they belong to certain social class or lack opportunities.

Here is a brand new video published just yesterday. The publisher claims that the beats were produced by Lucci in 2007, and finalizing of vocals, mixing and mastering was recorded by a young producer in 2013 by the name Zidady Mwamba, when thinking about it beat was made, during his standard 7 graduation and he now owns a studio called Expensive Music by the age of 24 and the lyrics of the song are 80% true story, have fun!

Think About It The Boss.

[video=youtube_share;6gJ1o6e3Ga8]http://youtu.be/6gJ1o6e3Ga8[/video]
 
Wasanii wengi wanaupeo mdogo ama mawazo mafupi,hawaangalii mbali,na hawako tayari kuinvest millions kwenye kazi zao,diamond anafanikiwa kwa sababu ameinvest pesa,akili,mawazo and all he have kwenye mziki pasipo.kujali the return,sasa wenzetu hawa anaona bora akafanye shoping ya kijinga na kuspend pesa kwenye mambo ya kijinga kuliko kuspend kwenye mziki

Ni hayo tu kwa kweli

Una uhakika kama diamond kafanikiwa???!!!
 
Back
Top Bottom