sarah6
Senior Member
- May 24, 2013
- 134
- 57
Wasaani wanapashwa kuwa managed. Ili wao kazi yao ibaki ni muziki tu. Kila siku ni mazoezi mwanzo mwisho na kutunga. Mfano mzuri P Square. Na Platinumz si ana manager wake?
anae meneja wake babu tale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasaani wanapashwa kuwa managed. Ili wao kazi yao ibaki ni muziki tu. Kila siku ni mazoezi mwanzo mwisho na kutunga. Mfano mzuri P Square. Na Platinumz si ana manager wake?
anae meneja wake babu tale
Hata kuiga mavazi tu wameshindwa....kuna video mpya ya alli kiba kasirikishwa nyimbo inaitwa uaminifu...nyimbo nzuri but alivyovaa alli kiba kwenye video aibu tupu
Kazi yao wivu tu diamond huyoooo hadi BET
namuombea kila laheri na kura napiga kila siku
Inaitwa NDAGUSHIMA kaifanyia UK na yule MODEL WA KIDHUNGU, Video nzuri lkn mwisho Kaharibu kajaza wahuni wenzake wa kinondoni wanadance tu, NYIMBO Yenyewe Ushuzi mtupu, auna mvuto wala Ladha , Bora NARUDI KIJIJINI YA Best Nasso..
tena anaongoza kwa kura kwenye kundi lake
wimbo upi? Nyimbo ni wingi.
kwani ni wapi uliambiwa meneja wa mwanamuziki ni mfadhili?Diamond kajipanga sana...ana meneja anaezijua fitna za muziki babu tale(sio mfadhili maana ye ndio anamlipa),ana madensa,ana mpiga picha na msimamizi wa social network kifesi,ana kuwadi professional one halima kimwana,ana mdananda specialist rj,ana baunsa wake (maalum kuwatisha wazito akienda kuongea biashara) nk nk wote hawa wanaishi mjini na kuwa na jeuri sababu ya dimonde.
habari ndo hiyo Heaven on Earth
do u have any evidence.........
Uongo mbaya zaidi ya nai nai nyimbo nyingine naona kama jamaa anapiga porojo tu
kuna video mpya ya alli kiba kasirikishwa nyimbo inaitwa uaminifu...nyimbo nzuri but alivyovaa alli kiba kwenye video aibu tupu
kwani ni wapi uliambiwa meneja wa mwanamuziki ni mfadhili?
Sikio la kufa kabisa hili.
Wasanii wengi wanaupeo mdogo ama mawazo mafupi,hawaangalii mbali,na hawako tayari kuinvest millions kwenye kazi zao,diamond anafanikiwa kwa sababu ameinvest pesa,akili,mawazo and all he have kwenye mziki pasipo.kujali the return,sasa wenzetu hawa anaona bora akafanye shoping ya kijinga na kuspend pesa kwenye mambo ya kijinga kuliko kuspend kwenye mziki
Ni hayo tu kwa kweli