Sikio la kufa: Rais wa Ukraine, Zelensky, akataa ofa ya Marekani ya kumtorosha Kyiv asikamatwe na Putin

Siku ya tatu leo Russia hajaiangusha serikali ya Ukraine licha ya kuwa na jeshi dhaifu.

Putin anakiri mashambulizi waliyayafanya yamewapa hasara ya vifaa vya kijeshi ila anasema bado hawajatangaza vifo na majeruhi vya wanajeshi wake.

Hapo ni kweli taarifa ya Ukraine kwamba imewaua mamia ya wanajeshi wa Russia iliyotolewa na wizara ya ulinzi ya Ukraine.

Putin kajitafutia matatizo kwa kutoifanya nchi itawalike maana hata wakimuondoa Rais aliyepo nakumuweka kibaraka wao pasipo Waukraine kupiga kura hawatokubali kuongezwa patatokea makundi ya kumpinga na kuleta hatari ya kiusalama kwa Russia maana ni majirani.
 
Hapo itabidi Russia atumie gharama kubwa ku restore amani ya Ukraine huku akilazimika kutumia gharama kubwa ya kulinda mipaka yake kwakuwa amani isipokuwepo Ukraine ni rahisi maadui kujificha Ukraine nakusababisha wasiwasi kwa Russia.

Hiyo ni mbinu ya kiuchumi kwa mataifa ya magharibi ili kuifanya Urusi itumie gharama kubwa kwenye ulinzi wa mipaka yake na nchi nyingine ili pasitokee wasiwasi wa kiusalama.
 
Marekani imetuma msaada wa vifaa vua kijeshi kwa Ukraine vya zaidi ya Tsh trilioni 1.
 
Rais ndiye roho ya nchi, akiwa hai vita havitaisha kwani ataendesha uasi kwa wale wanaomtii

Hiyo ni nchi inayosimika Rais kwa kupiga kura, uwezekano huo ni mdogo sana...
 
Ssa kma anatka silaha c wampe. Wengine vitatunaziona kweny move2 ssa hii ya sasa hiv itakuwa live
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…