Sikio la kufa: Rais wa Ukraine, Zelensky, akataa ofa ya Marekani ya kumtorosha Kyiv asikamatwe na Putin

Sikio la kufa: Rais wa Ukraine, Zelensky, akataa ofa ya Marekani ya kumtorosha Kyiv asikamatwe na Putin

Siku ya tatu leo Russia hajaiangusha serikali ya Ukraine licha ya kuwa na jeshi dhaifu.

Putin anakiri mashambulizi waliyayafanya yamewapa hasara ya vifaa vya kijeshi ila anasema bado hawajatangaza vifo na majeruhi vya wanajeshi wake.

Hapo ni kweli taarifa ya Ukraine kwamba imewaua mamia ya wanajeshi wa Russia iliyotolewa na wizara ya ulinzi ya Ukraine.

Putin kajitafutia matatizo kwa kutoifanya nchi itawalike maana hata wakimuondoa Rais aliyepo nakumuweka kibaraka wao pasipo Waukraine kupiga kura hawatokubali kuongezwa patatokea makundi ya kumpinga na kuleta hatari ya kiusalama kwa Russia maana ni majirani.
 
Hapo itabidi Russia atumie gharama kubwa ku restore amani ya Ukraine huku akilazimika kutumia gharama kubwa ya kulinda mipaka yake kwakuwa amani isipokuwepo Ukraine ni rahisi maadui kujificha Ukraine nakusababisha wasiwasi kwa Russia.

Hiyo ni mbinu ya kiuchumi kwa mataifa ya magharibi ili kuifanya Urusi itumie gharama kubwa kwenye ulinzi wa mipaka yake na nchi nyingine ili pasitokee wasiwasi wa kiusalama.
 
Marekani imetuma msaada wa vifaa vua kijeshi kwa Ukraine vya zaidi ya Tsh trilioni 1.
 
Rais ndiye roho ya nchi, akiwa hai vita havitaisha kwani ataendesha uasi kwa wale wanaomtii

Hiyo ni nchi inayosimika Rais kwa kupiga kura, uwezekano huo ni mdogo sana...
 
Marekani imepiga hesabu zake imeona kuwa Putin atamdaka Rais wa Ukraine ndani ya siku chache mno. Kufuatia hivyo, imeona bora imchukue kibaraka wake huyo (rais wa Ukraine) kwa kumtorosha toka Ukraine ili kumuepushia kifo.

Rais wa Ukraine bwana Zelensky amekataa ofa ya Marekani ya kutaka kumtorosha toka mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, uliozingirwa na majeshi ya Putin (Russia) yeye (Zelensky) akiwa ni target Namba 1. Rais huyo wa Ukraine amewajibu Marekani kuwa yeye anataka silaha za vita, sio ndege ya kumtorosha toka Ukraine.

Waswahili walinena SIKIO LAKUFA HALISIKII DAWA
===

Zelensky declines US offer to evacuate Kyiv: 'I need ammunition, not a ride'
Ukrainian President Volodymyr Zelensky was asked to evacuate Kyiv at the behest of the US government but turned down the offer.

Zelensky said in response: “The fight is here; I need ammunition, not a ride,” according to a senior American intelligence official with direct knowledge of the conversation, who described Zelenskyy as upbeat.

Invading Russian forces closed in on Ukraine’s capital on Saturday, in an apparent encircling movement after a barrage of airstrikes on cities and military bases around the country.
Ssa kma anatka silaha c wampe. Wengine vitatunaziona kweny move2 ssa hii ya sasa hiv itakuwa live
 
Back
Top Bottom