Siko Free nashindwa kulala na Mpenzi wangu mpaka asubuhi kwasababu naogopa kujamba.

Jaribu siku 1 kabla ya kulala nae ule mayai ya kuchemshwa ka manne hivi ushushie na supu ya maharage na nusu lita ya maziwa ya mtindi.Hii itakusaidia sana kutojamba,badala yake kijambo kitatoka kama pumzi tamu kinywani.
Jf ht ukiwa na stress lazima ziishe.hahahahaaaaa
 
haahhaahaahaahaahaahaahaahaahaahaa! Jamba tu tena ule wa yusuuufuu!
 
Aaah! Simpatii picha huyo Mr.Strong... Me huwa najiachia tu but wife hapendi ila yeye ndie hodari wa kulipua mabomu.

Anatulia tu......na huwa nampa taarifa kuwa leo ujiandae.Anabaki kucheka tu.
Kama nimelala nae huwa anazid kunikumbatia.
 
Mhhh hizi savanah zenu nyie ma sister duuh noma!Demu wangu akinywa savanah anajamba kweli kweli tena yananuka mno!

Isha zoea sasa akinywa savanah najua leo hatulali ahahahaha

Sijajua Malafyale....ila kwa mpenz wako unajiachia tuuuu,atajibana mpaka lini?
 
Last edited by a moderator:

yaahe hizo bureeeiki umepeleka wapi veve?
 
Jiweke huru
Utajibanabana hadi lini sasa.
 
Teh teh vijana wa siku hizi mna mapenzi ya paka, mimi enzi zangu nilikojoa mkojo kwenye kibuyu kama nusu lita huku kishtobe wangu akiniangalia nikamwambia kama unanipenda kunywa huu mkojo akaunywa wote sasa wewe unaogopa kupiga honi tu.
 
Weka pamba kwenye njia ya kupitishia hewa tatizo lirtakuwa limeisha
 
Jamaa anajamba huyo sifa^ za kijinga!!!!
Unajua n bro we punguza kula mapapai sana,maharage na wali kwa pamoja!!
Yan ukila wal marage kaa muda usile matunda utaona utofauti!
Pili epuka kula halaf na kunywa maji kwa wakati mmoja itakusaidia
 
Teh teh vijana wa siku hizi mna mapenzi ya paka, mimi enzi zangu nilikojoa mkojo kwenye kibuyu kama nusu lita huku kishtobe wangu akiniangalia nikamwambia kama unanipenda kunywa huu mkojo akaunywa wote sasa wewe unaogopa kupiga honi tu.

Alikupendaa........siyawezi
 
Ha ha ha haaaaaa! Kuna thread mtu unaifungua kwa ajili tu ya kucheka tu! Dah, watu mna majibu!
 
Enyi vijana sikilizeni mnapokuwa masomoni zingatieni masomo acheni mambo ya mapenzi mnawapa uchungu wazazi wenu matokeo yake ni kufukuzwa shule.
 
Jamba meku! Siku moja mi nilijamba akanicheka. . .na yeye siku nyingine akajamba nikamcheka kweli, ever since tunaona kujamba ni fun. . .lol achia ushuzi bhana. . .shuta kwa raha zako.
 
Hallow ww sio mwaaminifu ktk mapenz yenu maana kama unawezakuficha vituvidogodogo kama hivyo je vikubwa si unamficha zaid namshauri huyo mpenz wako aachane na ww kabisa ww ni hatari.
 
huo sio ugonjwa tena inaonyesha how health you are!! mimi zikipita siku mbili sijajamba nashikwa na wasiwasi, so kuwa free na jiexpress yourself
 
jifunge ant-sound
ziko mliman city

Hahahahahahaha daaaaah kuna koment zingn zinafanya watu tusahau shida na kujikta ukiachia bonge la cheko tena uko ndani ya daladala au barabaran huku wanajamii wakishangaaa na maswali kichwan mmmh pengne ndo sitimu, daaah hii koment imenichekesha saaana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…