Kipilipili
JF-Expert Member
- May 25, 2010
- 2,272
- 1,897
Jf ht ukiwa na stress lazima ziishe.hahahahaaaaaJaribu siku 1 kabla ya kulala nae ule mayai ya kuchemshwa ka manne hivi ushushie na supu ya maharage na nusu lita ya maziwa ya mtindi.Hii itakusaidia sana kutojamba,badala yake kijambo kitatoka kama pumzi tamu kinywani.