Siko Free nashindwa kulala na Mpenzi wangu mpaka asubuhi kwasababu naogopa kujamba.

Wakuu naoma kuuliza hivi...wabunge, mawaziri, prezidenti na bongo movie nao huwa wanajamba??..samahanini lakini..
 
Uwíiii wee kweli kibomu, sasa kati ya kumvulia nguo akufukue na kujamba lipi la aibu maana kama kujamba unaweza hata ukiwa umevaa nguo? Mi najiachia vizuri kama kamaind na yeye afyetuwe 2we ngnma droo. Ngoja embu kdogo nijipe raha puuuuuuuuu pokopopokopooo fyuuuuuu.
 

Sasa ndugu yangu na hii Ramadhan, umeamka usiku ukala mivyakula kibao: mihogo, maharagwe, kande, ugali, ndizi, wali, uji, mchemsho, supu ya pweza, etc., na si ajabu kitimoto kwa kujificha, sasa ulitegemea nini?
 
Ahahahahahh, JF kiboko, you made my evening lol!
Sasa ndugu yangu na hii
Ramadhan, umeamka usiku ukala mivyakula kibao: mihogo, maharagwe,
kande, ugali, ndizi, wali, uji, mchemsho, supu ya pweza, etc., na si
ajabu kitimoto kwa kujificha, sasa ulitegemea nini?
 
Washakuharibu nini maana haiwezekani uwe unajamba hovyo tu..
Pole sana ndugu kama unafumuliwa kabaang sio vizuri jitahidi uachane na mchezo huo utkuwa free kulala na mpenzi wako.
 
Jambaaaaa..kama kakupenda apende na kila kitu chako!!vizuri na vibaya..
 
JF is only place to be.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hah!cjui hamjazoeana..mh! Me hua nashutua mpaka mume wangu amejizoelea imekua part of our fan.mpaka ametungia jina anaita vishuto ...hahaaaa very fun
 
Usiku mkiwa mmelala nyie mjifunike shuka mpaka juu then mwambie nataka nikupe surprise then viachie kama vitatu kwa awamu puu puuu puuuuu, ondoa hyo aibu kwan utadumu nayo na kuishi bila uhuru.
 
tupia sound proof makalioni mkuu inaweza kusaidia
 
sio siri hilo ni tatizo hem funguza zaidi lilianzeje? isije kuwa ulilegeza nati umeshindwa kuzirudish...
 
Ha! Ha! Ha! Haaaaaa!! Nimecheka sana hakyanani. JF kunavituko vya kila aina haichoshi.
 

Kupumua kwa makalio unagwaya kiasi hicho; ina maana unaamini hajui kuwa huwa unapata haja (kubwa na ndogo) pia?

Acha maisha bandia; jamba kwa amani kabisa (uwezekano mkubwa nyote mtakuwa mmesinzia)!
 
Nazjaz alishakuwaga na mwanaume kama wewe,muulize akupe suluhu
 
Last edited by a moderator:
kweli jf is a master of everything. mkuu umenichekesha sana leo you really made my day yani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…