KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Wakuu naoma kuuliza hivi...wabunge, mawaziri, prezidenti na bongo movie nao huwa wanajamba??..samahanini lakini..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KASHWAGARA...! Ti kaswagara, alimrundi isi? Siku 14 simeisha ndugu. Nenda kwenu.Chemsha mmea unaitwa kaswagara utakusaidia kusafisha tumbo lako na kuondoa ges
WanaJF nina tatizo linanikabili sijui kama na wenzangu mnalo,nimekuwa siko free na nashindwa kujiachia kulala na mpenzi wangu mpaka asubuhi kwasababu naogopa nikijamba usiku atanielewaje,nakosa amani kwa kweli kwasababu usiku huwa nikiachia yanatoa sauti sana,kuepusha shari na fedheha nimekuwa nikikwepa kulala naye kitu ambacho mwenzangu bado anaking'ang'ania,nisaidieni hata ushauri namna ya kufanya niwe na amani mwenzenu.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Wewe lala nae tena mjifunike shuka moja, achia kitu ukimiona anatoa kichwa nje ujue hakupendi lol
Sasa ndugu yangu na hii
Ramadhan, umeamka usiku ukala mivyakula kibao: mihogo, maharagwe,
kande, ugali, ndizi, wali, uji, mchemsho, supu ya pweza, etc., na si
ajabu kitimoto kwa kujificha, sasa ulitegemea nini?