Siko Free nashindwa kulala na Mpenzi wangu mpaka asubuhi kwasababu naogopa kujamba.

mweee! mbavu zangu jamani yaani had chozi limetoka! kweli jamii mwisho wa stress
 

You cant be serious buddy!!! kwanza hw old are you wewe na mtoto mwenzio
 
Wewe lala nae tena mjifunike shuka moja, achia kitu ukimiona anatoa kichwa nje ujue hakupendi lol

hahahahahahahaahaaaaaaaaaa........gubigubi sio......duh... u make ma day....
 
Jinsi ya kuj...................a soundless aKiwa na mpenziwe

...mkuu huyu jamaa afunge sound proof za kichina zitamfaa sana, asa analeta jamvini wakati mchina yupo...!
 
nifanyaje ili nisijambejambe sana pia tumbo unguruma sana
 
acha kuliwa 0713...na ule mapera kwa wiki tatu mfululizo yasiwe yameiva sana au kama unafahamu matunda pori yanaitwa mifudu ule kwa siku nne tuu ila yote haya uwe umeacha kugawa kabang
 
Umejuaje Kama anafanya huo mchezo? Sio vizuri kuhukumu jambo usilolifahamu pengine ni maradhi tu mkuu.
 
Pole sana. Unakula sana vyakula gani na kama unakunywa bia je unakunywa bia gani?
 
Pole sana. Unakula sana vyakula gani na kama unakunywa bia je unakunywa bia gani?

sinywi bia yoyote mwanakwaya pia vyakula navyokula mara nyingi ugali nyama na majani pia wali mboga za nafaka kwa jion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…