Diana Fares
Member
- Oct 12, 2012
- 54
- 8
Haa ha ha ha ha ha ha dah!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh swali gumu, ngoja niwaulize member humu JF wanisaidie.we ni jinsia gani?
...kama unaogopa si uache sasa unataka tukuwekee plasta...?mi atasielewi huu uzi unataka nini...
Wakuu naoma kuuliza hivi...wabunge, mawaziri, prezidenti na bongo movie nao huwa wanajamba??..samahanini lakini..
Nadhani hata yeye hayuko huru coz kuna siku nilijitahidi nikalala naye huwa analala kwa kuotea hana amani sana nikifumbua macho naye anafumbua kuonyesha hayuko huru sana nadhani na yeye anaogopa kuachia,mi huwa najitahidi nikeshe ila nazidiwa ukiona nimelala nimepitiwa tu bt nikistuka huwa naogopa sana nisije nikawa nimeachia.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Wewe lala nae tena mjifunike shuka moja, achia kitu ukimiona anatoa kichwa nje ujue hakupendi lol
Jinsi ya kuj...................a soundless aKiwa na mpenziwe
nifanyaje ili nisijambejambe sana pia tumbo unguruma sana
Pole sana. Unakula sana vyakula gani na kama unakunywa bia je unakunywa bia gani?
Ndondo hizo mkuu,punguza,maana ndondo kwa gesi si mchezo.