Siku 180 mabilioni yapigwa Uhamiaji, maofisa 32 wamehusika

Watu badala mpigie kelele solution, nawaona mnazidi kupigia kelele matatizo.

Tena nikiwasoma vizuri ni kama mnashangilia kwa mshangao, bado mko honey moon ya kifo cha marehemu.

Mkija kutoka huko mtakuta hawa siafu wa sasa wamemaliza kila kitu, halafu mshangae tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…