Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii NCHI hii
Sure ndiyo imeisha hivyo watu wanatafuna haswaWatawalea as usual kama mnavyojua...hawa waliwaweka kwenye kundi la ukamataji. Sasa ili ikifika wakati wa msaada hili kundi litaebeba vote kwenye mabegi....watakaa kimyaa tu na upepo utapita...kiulaini...Mbinu kuu ya kuongoza ni pamoja na kuhakksha kundi lenye magobole linakula urefu wa kamba zao.
Ili ukifika wakati waTumike kwa uaminifu.
Jiwe bila nyumba yake kupekuliwa nitashangaa sanaView attachment 2196026
Kwa mwendo huu awamu ya 5 ilikuwa ina ufisadi mwingi kuliko awamu zote au ukijumlisha ufisadi wa awamu zote ndio unapata ufisadi wa awamu ya 5
Sisi lazima tupige sababu Hatujafikia level ya maturity kama weupe.Sasa hii ya kuchezea mifumo ni tatizo la JPM au tabia yetu ya wizi na udokozi ambayo ni kama ndio kielelezo cha ufanyaji kazi wetu?
Lakini awamu ya tano ilijinadi awamu safi isiyo na wapigaji cha ajabu ikazima vyombo vya habari na kupambana na vyama vya upinzani.Hakuna awamu watu hawapigi, hata sasa kuna raia wanapiga na utakuja kujua baadaye...
Hee😳 na ile awamu ya wazalendo walikua wapigaji??Hakuna awamu watu hawapigi, hata sasa kuna raia wanapiga na utakuja kujua baadaye...
Amepeleka posa ya Diamond?Rais Samia akutana na baba wa Rihana huko Marekani
Mwafrika ndie species inayojua kutafuna na sio kulima.Subiri miaka ya awamu zake ziishe ndipo wananzengo watakuja kusema bora wale awamu zile nyingine zilizopita...
Huwezi tenganisha masikini na ulafi, Waafrika ni walafi sana...
WANANCHI TUKISEMA POLISI WANATUKAMATA NCHI ya AJABU sana RAIS Samia anazunguka kutafuta Pesa za Maendeleo WATENDAJI wanazipiga tuView attachment 2196026
Kwa mwendo huu awamu ya 5 ilikuwa ina ufisadi mwingi kuliko awamu zote au ukijumlisha ufisadi wa awamu zote ndio unapata ufisadi wa awamu ya 5
Alikuwa bize kuua upinzani kuliko kuwa bize kuziba nyumba inatobokaNukuu ya Magufuli " Ufisadi ni tabia ya mtu kama ambavyo tunatumia njia kupigana na mafisadi wao pia wanatumia njia zao waendelee na upigaji"
Hee😳 na ile awamu ya wazalendo walikua wapigaji??
Tena kaenda watengenezea dili kabisa watalii wakiongezeka wanaongezekea kwenye mifuko yao.WANANCHI TUKISEMA POLISI WANATUKAMATA NCHI ya AJABU sana RAIS Samia anazunguka kutafuta Pesa za Maendeleo WATENDAJI wanazipiga tu
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app