Siku 180 mabilioni yapigwa Uhamiaji, maofisa 32 wamehusika

Siku 180 mabilioni yapigwa Uhamiaji, maofisa 32 wamehusika

Familia zetu ukiwa mpigaji wewe shujaa, na role model wao, na kiongozi wetu wanapokemea rushwa nafsi zao zinawasuta, na muda mwingine najiuliza hivi kuna haja gani viongozi kulipwa mafao makubwa na hao ndiyo wanao litia taifa umasikini😭😭😭🙊🙊🙊
 
SHida ni kwamba kuna mwamba alituaminisha kuwa wakati wake hatukuwa tunapigwa...!!
Sasa kusingekuwa na upigaji mbona alikuwa anatumbua majibu nanukuu yake " Ufisadi ni tabia ya watanzania wengi kama ambavyo tunavyotumia njia kupambana na mafisadi ndipo nao wanatumia njia zao kuendelea na upigaji" so ungeelewa hicho wala usingecomment hivyo
 
Aliowatumbuwa wengine nafasi moja alisababisha alipe mishahara miwili kwa mwaka mzima.. aliyetumbuliwa alilipwa na aliyewekwa naye alilipwa
 
Kwahiyo wewe kilichokuuma ni kuwapiga pini vyama vya upinzani na sio maendeleo aliyoleta ndani ya nchi?
Kuwa bize for nothing ambacho hakina madhara kwa watz then anaacha kupambana na majizi
 
Back
Top Bottom