Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Unataka yale makoti makubwa?Vipi nguo za MAREHEMU zinagawiwa kama raia wa kawaida au ?
NB: new dj same song
Mwamba!???Rest in peace Mwamba....
Mimi Nina miaka sita niliacha kuangalia TV kuanzia Leo naangaliaBora zimeisha maana hata redio tulikuwa tunashindwa kusikiliza zaidi ya BBC na DW.
Siku zinaanza kuhesabiwa Siku Ya kwanza , tarehe 17 ndio Siku Ya tukio , kwa hiyo inaanza Siku hiyo hiyo kuhesabiwa18,19,20,21,22,23,24 - Week 01
25,26,27,28,29,30,31 - Week 02
01,02,03,04,05,06,07 - Week 03
Roger Dat.Siku zinaanza kuhesabiwa Siku Ya kwanza , tarehe 17 ndio Siku Ya tukio , kwa hiyo inaanza Siku hiyo hiyo kuhesabiwa
Zinaisha leo 6 March. Kesho tuko huru tena ku celebrate. Ifike tu aiseee
So zinaisha kesho au??18,19,20,21,22,23,24 - Week 01
25,26,27,28,29,30,31 - Week 02
01,02,03,04,05,06,07 - Week 03
Hivoo?Kesho ndio anasahaulika RASMI maana hatazungumziwa.
Ndio hivyo si unajua unafiki wa wabongo? Wanaenda na mdundo tu,kama maombolezo na wao wanaenda hivyo hivyo kimaombolezo yakiisha tu wanaweka KAPUNI.Hivoo?
Clip tunazo...Kesho ndio anasahaulika RASMI maana hatazungumziwa.