Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio ashaanza, yaani ashasaulika sema ambao wanamkumbuka ni akina Sabaya, Musiba nkDuuuuh ashaanza kusaulika
Jiwe juu ya jiwe
He had played his role. Life should move on.Rest in peace Mwamba....
Mkuu we acha tu mm natamani ata vyombo vya habari visioneshe tena chochote kumhusu JPM maan nitakuwa napata machungu tu nikiona picha na video zakeBora zimeisha maana nilikuwa napata machungu sana kuona picha zake kwenye tv na nyimbo zake redioni... RIP my president.
Nilikupenda na nimeumizwa na msiba wako kama vile nimefiwa na baba yangu mzazi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, alipokuwa makamu wa Rais alitangaza kifo cha Rais wa Awamu ya Tano, Dkt. John Magufuli Machi 17, 2021 na kutangaza maombolezo ya siku 21 kwa mujibu wa sheria.
Hayati Rais Magufuli amefanyiwa maombolezo yakiwa ni pamoja na bendera kupepea nusu mlingoti na vyombo vya habari hasa televisheni na vituo vya redio vikipiga nyimbo za maombolezo.
Rais Magufuli alizikwa Machi 26, 2021 wilayani Chato, Mkoani Geita baada ya kuagwa na wananchi wa Dar es Salaam, Dodoma, Zanzibar na Mwanza.
Rais Magufuli aliingia madarakani Mwaka 2015 ambapo alichukua kiti cha urais kutoka kwa Rais Jakaya Kikwete.