He he he wabongo wana stress mpaka stress zenyewe zinawakoma[emoji16]Ndio hivyo si unajua unafiki wa wabongo? Wanaenda na mdundo tu,kama maombolezo na wao wanaenda hivyo hivyo kimaombolezo yakiisha tu wanaweka KAPUNI.
Haahaa hawana muda wanaomba tu siku 21 ziishe wapumzike na manyimbo ya majonzi 24/7.He he he wabongo wana stress mpaka stress zenyewe zinawakoma[emoji16]
Mwamba!???
Hahaha dah mie wanipe yale masuti yake makubwa alikuwa anavaa kabla hajajanjaruka alipoingia ikulu.Vipi nguo za MAREHEMU zinagawiwa kama raia wa kawaida au?
NB: new dj same song
Who is he? Was he not human?I still not believe kama Kweli hayupo jamani, apumzike kwa amani[emoji120]
Maisha muruaaaaaaaaa, hata hali ya hewa imebadilika yule mtu sijui alikuwa anatunyima mpaka hewa Safi dahwiki izi mbili kila ukienda ATM kuchukua hela unakutana na fedha mpyaaa mpyaa
Afadhali zimeisha. Tulikuwa tumeboreka mno. Tulilazimika kuzima TV zetu hasa TBC.18,19,20,21,22,23,24 - Week 01
25,26,27,28,29,30,31 - Week 02
01,02,03,04,05,06,07 - Week 03
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, alipokuwa makamu wa Rais alitangaza kifo cha Rais wa Awamu ya Tano, Dkt. John Magufuli Machi 17, 2021 na kutangaza maombolezo ya siku 21 kwa mujibu wa sheria.
Hayati Rais Magufuli amefanyiwa maombolezo yakiwa ni pamoja na bendera kupepea nusu mlingoti na vyombo vya habari hasa televisheni na vituo vya redio vikipiga nyimbo za maombolezo.
Rais Magufuli alizikwa Machi 26, 2021 wilayani Chato, Mkoani Geita baada ya kuagwa na wananchi wa Dar es Salaam, Dodoma, Zanzibar na Mwanza.
Rais Magufuli aliingia madarakani Mwaka 2015 ambapo alichukua kiti cha urais kutoka kwa Rais Jakaya Kikwete.
Unataka yale makoti makubwa?