Siku 21 za maombolezo ya kifo cha Rais Magufuli zafika ukingoni

Bora zimeisha maana nilikuwa napata machungu sana kuona picha zake kwenye tv na nyimbo zake redioni... RIP my president.
Nilikupenda na nimeumizwa na msiba wako kama vile nimefiwa na baba yangu mzazi.
 
Bora zimeisha maana nilikuwa napata machungu sana kuona picha zake kwenye tv na nyimbo zake redioni... RIP my president.
Nilikupenda na nimeumizwa na msiba wako kama vile nimefiwa na baba yangu mzazi.
Mkuu we acha tu mm natamani ata vyombo vya habari visioneshe tena chochote kumhusu JPM maan nitakuwa napata machungu tu nikiona picha na video zake
 
Wahindi wanasema "Kwishneli pateri ,kemcho am dabati ,balabala cheee" yaani Imeisha hiyoooooooo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…