Siku 30 za Jumuiya ya Madola kutaka Lissu aachiwe zimekwisha, kinachofuata ni utekelezaji

Siku 30 za Jumuiya ya Madola kutaka Lissu aachiwe zimekwisha, kinachofuata ni utekelezaji

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Dalili zote za Uoga zimeshaanza kuonekana especially huko mahakamani huu mwezi na kutangatanga sijui kuunda tume uchwara.
 
Leo ni siku ya mwisho kwa serikali ya Tanzania kutekeleza pendekezo la Jumuiya ya Madola linaloitaka kutafuta njia ya kisiasa na kisheria ya kumaliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu.

Msijekusema hatukuwakumbusha.

Pia soma: Jumuiya ya Madola yaipa Tanzania siku 30 Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria
Kesi ya Tundu Lissu inaendelea mahakamani kesho.

Hitaji la Commonwealth tayari wamekwishalipa jibu..

Iliyobaki sasa ni kuona mchakato huo unafikia wapi.
 
There is a serious threat to national sovereignty. In any case, as a nation, we will triumph.
You have no idea of what you are talking about

Butchering your own citizens in the name of "sovereignty" is bullshit.

Evil cannot be allowed to "triumph" over good.

What nation are you talking about? Samia Suluhu Hassan and her henchmen cannot be a "nation".

I am at a loss to know why you're hallucinating this way. Are you high on something?
 
Sidhani, na wala sitegemei hilo unalofikiri wewe kutokea.
Kwa vile kesi imetoka kwenye mkwamo, wataendelea tu kukomalia hivyo hivyo hadi ifike mwisho. Mwisho wa kesi ndio ninaouona kuwa mzuri.
Mkwamo upi? Kumbe wewe hujui uko wwpi!
There was no mowamo, ilikuwa ni amri kuwa stop prosecuting this case
 
Back
Top Bottom