Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Aisee poleni sana kwa BAN ilikuwaje mkapigwa BAN mlizozana na mtu nini?Yeah napenda kuwasalimu marafiki zangu wote humu katika hili jukwaa
Nataka kuelezea kidogo kuhusu siku 4 ndefu za kifungo cha humu jukwaani JF baada ya kuenda kinyume na utaratibu
Sikufungwa peke yangu hichi kifungo kilitupana na rafiki yangu NAHUJA sijui kama nae yupo huru mda huu ninaoongea
Ila siku hizo zilikuwa chungu ndefu kuisha nilikuwa natamani mda ufike nijumuike tena na maswahiba zangu .
Naomba kuwasilisha
Naomba mtambue uwepo wangu
ASANTENI.
Noma sana unakuja kushtuka tu kuwa tayar umeshalambwa
Ahhahaa..Toto TUNDU....Karibu rafiki mchokozi!
DJ sepetu
Haa aisee yule dogo mpuuzi balaa anafanya mambo ya kijinga sana hajiheshimuSi yule Dogo aliyekuibia Avatar yako
Amani broIla nmesamehe 7 x 70
[emoji15] [emoji87]Asante sana kisura
Asee mi sio kisura banaaAu nimekosea kisura?
Mi sipendi sifaUnakataaje sifa ya kawaida ivyo husna
Lioneee.Dah..alfu mm ndyo napenda kukusifia
Keshatukana tayali ban inamhusu invisible njooWe msukuma mmmh!
Sidhani huko nyuma hukuwa hivyo
DJ sepetu