Siku 4 za machozi, Jasho, na Damu

Siku 4 za machozi, Jasho, na Damu

Yeah napenda kuwasalimu marafiki zangu wote humu katika hili jukwaa

Nataka kuelezea kidogo kuhusu siku 4 ndefu za kifungo cha humu jukwaani JF baada ya kuenda kinyume na utaratibu

Sikufungwa peke yangu hichi kifungo kilitupana na rafiki yangu NAHUJA sijui kama nae yupo huru mda huu ninaoongea

Ila siku hizo zilikuwa chungu ndefu kuisha nilikuwa natamani mda ufike nijumuike tena na maswahiba zangu .

Naomba kuwasilisha
Naomba mtambue uwepo wangu
ASANTENI.
Aisee poleni sana kwa BAN ilikuwaje mkapigwa BAN mlizozana na mtu nini?
 
Noma sana unakuja kushtuka tu kuwa tayar umeshalambwa

Dah iliniuma saaana yani.Kila nikitupia pasword hamna kitu.Halafu nikaona watu flani wanapost upupu ndo nazidi kupata hasira.Atleast basi wawe wanatupa warning kabla ya kupiga ban.
 
Dah iliniuma saaana yani.Kila nikitupia pasword hamna kitu.Halafu nikaona watu flani wanapost upupu ndo nazidi kupata hasira.Atleast basi wawe wanatupa warning kabla ya kupiga ban.
Ukiwa ban unakuwa na mzuka kinoma yani
 
Back
Top Bottom