Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Habari za segerea[emoji23] [emoji23] hope hujapoteza rinda!
DJ sepetu
Naona mko kuisaka ban nyingineHahahaa Mimi nitawambia tufanye zamu zamu ila nianze mm kuwatifua[emoji23] [emoji23]
DJ sepetu
Alfu ukimaliza ndyo unajinyea?
Khantwe mbona amani tu
Pole sana
Ukigombana na na Braza mtu ya ma bebez siasani umeisha
demi yupo huruSina taarifa kama Demi yupo kifungoni[emoji15] [emoji15]
Aisee poleni sana kwa BAN ilikuwaje mkapigwa BAN mlizozana na mtu nini?Yeah napenda kuwasalimu marafiki zangu wote humu katika hili jukwaa
Nataka kuelezea kidogo kuhusu siku 4 ndefu za kifungo cha humu jukwaani JF baada ya kuenda kinyume na utaratibu
Sikufungwa peke yangu hichi kifungo kilitupana na rafiki yangu NAHUJA sijui kama nae yupo huru mda huu ninaoongea
Ila siku hizo zilikuwa chungu ndefu kuisha nilikuwa natamani mda ufike nijumuike tena na maswahiba zangu .
Naomba kuwasilisha
Naomba mtambue uwepo wangu
ASANTENI.