Siku 40 bila mwamba: Ulituheshimisha sisi wanyonge na masikini, pumzika kwa amani Hayati Dkt. Magufuli

Wanyonge wapi hao, mnakubali kuwa wanyonge huku mkipokwa haki zenu, watu wanaishi Kama peponi, KWA kwa pesa zenu za madafu, kuanzia kodi , mpaka vitambulisho vya machinga, acheni jitoa ufaham, Binasfi sikuwai kuwa mnyonge, mnyonge gani wakati sie NDO tulimwajili,kwamba mfanyakazi wangu anigeuke nakuniita mnyonge na nimuabudu, not to me ,
 
DAAH INAUMIZA SANA SHUJAA KUTUACHA MAPEMA SISI TULIOKUWA TUNAMPA SUPPORT YEYE NA CHAMA CHETU PENDWA CCM[emoji24][emoji24]
 
Huyu alituweka kwenye kikaango cha ukabila. Akatuibia halafu akatuita wanyonge. Alichoweza kufanya ni kufanya wananchi maskini wawachukie wenye nazo na kufurahia anguko lao. Ni kama alianzisha ule msemo wa kichawi "tukose wote"
 

Hizi sifa ni kwa jizi la kura?
 
Siku 40 bila kuambiwa "kaeni na mavi yenu nyumbani msichafue vyoo vya serikali".
 
Marehemu dikiteta magufuli angemaliza muhula wake wa pili hii nchi ingedumbukia shimoni, thanks God kifo cha babu yenu happened for a good reason.
 
Acha ufala wewe mtoa Mara

Magufuli ndiye aliyeondoa FAO LA KUJITOA

Hao wanyonge' wamepata faida gani?

Kupora FAO la kujitoa NSSF na Pesa kuzichota ..
 
Pumbaf zako wwewe,
Mnyonge ni wewe na ukoo wenu .
Yaani kuitwa mnyonge unaona sifa?
 
Kwahiyo na wewe ni mnyonge MATAGA?

Vipi mbona kale ka utafiti uchwara hujakaweka mwishoni hapo na namba za simu?
 
Alikuwa mwizi kama wezi wengine tu. Ila sema alizuia aina fulani ya wezi ili aibe yeye na genge lake.
 
Tanzania ya Magufuli na Jehanamu vilitofautiana majina tu! Mateso yalikuwa hayatofautiani kabisaaa.
 
Mkija kuzinduka mtakuwa mmchelewa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…