Siku 40 bila mwamba: Ulituheshimisha sisi wanyonge na masikini, pumzika kwa amani Hayati Dkt. Magufuli

Wanyonge wapi hao, mnakubali kuwa wanyonge huku mkipokwa haki zenu, watu wanaishi Kama peponi, KWA kwa pesa zenu za madafu, kuanzia kodi , mpaka vitambulisho vya machinga, acheni jitoa ufaham, Binasfi sikuwai kuwa mnyonge, mnyonge gani wakati sie NDO tulimwajili,kwamba mfanyakazi wangu anigeuke nakuniita mnyonge na nimuabudu, not to me ,
SIKU 40 BILA MWAMBA;ULITUHESHIMISHA SISI WANYONGE NA MASIKINI,PUMZIKA KWA AMANI JPM.

Katika awamu ya nne ya Rais Mstaafu Kikwete kurudi nyuma hadi Azimio la Zanzibar,Matajiri na Wafanyabiashara walikuwa na Jeuri za kila aina,kwa maana walianza kufanikiwa kuifanya CCM kuwa ya Wafanyabiashara,Wakulima na Wafanyakazi kitu ambacho kilikiuka miiko ya CCM iliyokuwa ya Chama Cha Wakulima na Wafanyakazi,na CCM ambayo inaongozwa na itikadi ya Kijamaa,sio ya Kibepari.

Dhana ya Wafanyabiashara kuhodhi mali za CCM na kuitawala CCM iliwapa jeuri Matajiri ambao wengi wao ni Wafanyabiashara waliokuwa wafadhiri lakini pia Mafisadi,jeuri ya Matajiri ilikuwa kubwa hasa awamu ya nne,matajiri walifikia mpaka kuamua uhai wa watu masikini waishi vipi wakae wapi wale nini kwa maana gap la tajiri na masikini lilikuwa kubwa na baadhi ya matajiri walikuwa na utajiri kiasi cha kuweza kuikopesha Serikali.

Alipoingia Hayati Rais Daktari John Pombe Magufuli alituheshimisha wanyonge ambao tulikuwa tukionewa na matajiri hata sauti zetu zisisikike popote,Wanyonge ambao hatukuwa na mtu wa kutupa kimemo ili twende kwa Mkurugenzi fulani atuajiri,Rais wa Awamu ya tano, Daktari John Pombe Magufuli alituheshimisha sisi Masikini ( Mimi nikiwemo ) kuwa hata sisi pia ndani ya hii Ardhi ya Mama Tanzania tuna thamani yetu,tuliokuwa matombo Morogoro tuliweza kupata ajira tukiwa kijijini matombo na wasiopata walikuwa na matumaini ya kupata,Hayati Rais Magufuli alitupa ujasiri ( akatujaza ) jeuri sisi masikini mpaka Matajiri nao wakaanza kutunyari ( kutuogopa ) Wanyonge na masikini nasi tukaanza kuona kuwa Tanzania ni nyumbani kwetu sio nyumbani kwa matajiri peke yao.

Watu wanauliza mnyonge ni nani? wengine wakianzisha kampeni wasiitwe wanyonge,lakini niwaambie mnyonge ni mtu yule anaepata mlo mmoja au miwili kwa siku,akipata milo mitatu kwa shida,inabidi achakarike na asisumbuliwe, mfano Mmachinga anafukuzwa na askari sehemu yake anayofanya biashara.JPM aliwapa kibali cha unafuu, wataacha kumpenda?kwa mnyonge , akipata kile anachotafuta bila kusumbuliwa,ni Raha yake na anamuamini aliyemuwezesha,Hayati Rais John Pombe Magufuli aliweza hilo.

#Ahsante Rais Magufuli
#Pumzika kwa Amani Mwamba.
 
MH ALITUHESHIMISHA MNO.
FB_IMG_1601280139466.jpg
 
DAAH INAUMIZA SANA SHUJAA KUTUACHA MAPEMA SISI TULIOKUWA TUNAMPA SUPPORT YEYE NA CHAMA CHETU PENDWA CCM[emoji24][emoji24]
JamiiForums-16900777.jpg
 
Huyu alituweka kwenye kikaango cha ukabila. Akatuibia halafu akatuita wanyonge. Alichoweza kufanya ni kufanya wananchi maskini wawachukie wenye nazo na kufurahia anguko lao. Ni kama alianzisha ule msemo wa kichawi "tukose wote"
 
SIKU 40 BILA MWAMBA: ULITUHESHIMISHA SISI WANYONGE NA MASIKINI,PUMZIKA KWA AMANI JPM.

Katika awamu ya nne ya Rais Mstaafu Kikwete kurudi nyuma hadi Azimio la Zanzibar, Matajiri na Wafanyabiashara walikuwa na Jeuri za kila aina,kwa maana walianza kufanikiwa kuifanya CCM kuwa ya Wafanyabiashara, Wakulima na Wafanyakazi kitu ambacho kilikiuka miiko ya CCM iliyokuwa ya Chama Cha Wakulima na Wafanyakazi,na CCM ambayo inaongozwa na itikadi ya Kijamaa,sio ya Kibepari.

Dhana ya Wafanyabiashara kuhodhi mali za CCM na kuitawala CCM iliwapa jeuri Matajiri ambao wengi wao ni Wafanyabiashara waliokuwa wafadhiri lakini pia Mafisadi,jeuri ya Matajiri ilikuwa kubwa hasa awamu ya nne,matajiri walifikia mpaka kuamua uhai wa watu masikini waishi vipi wakae wapi wale nini kwa maana gap la tajiri na masikini lilikuwa kubwa na baadhi ya matajiri walikuwa na utajiri kiasi cha kuweza kuikopesha Serikali.

Alipoingia Hayati Rais Daktari John Pombe Magufuli alituheshimisha wanyonge ambao tulikuwa tukionewa na matajiri hata sauti zetu zisisikike popote, Wanyonge ambao hatukuwa na mtu wa kutupa kimemo ili twende kwa Mkurugenzi fulani atuajiri,Rais wa Awamu ya tano, Daktari John Pombe Magufuli alituheshimisha sisi Masikini (Mimi nikiwemo) kuwa hata sisi pia ndani ya hii Ardhi ya Mama Tanzania tuna thamani yetu,tuliokuwa matombo Morogoro tuliweza kupata ajira tukiwa kijijini matombo na wasiopata walikuwa na matumaini ya kupata, Hayati Rais Magufuli alitupa ujasiri (akatujaza) jeuri sisi masikini mpaka Matajiri nao wakaanza kutunyari (kutuogopa) Wanyonge na masikini nasi tukaanza kuona kuwa Tanzania ni nyumbani kwetu sio nyumbani kwa matajiri peke yao.

Watu wanauliza mnyonge ni nani? wengine wakianzisha kampeni wasiitwe wanyonge,lakini niwaambie mnyonge ni mtu yule anaepata mlo mmoja au miwili kwa siku, akipata milo mitatu kwa shida,inabidi achakarike na asisumbuliwe, mfano Mmachinga anafukuzwa na askari sehemu yake anayofanya biashara. JPM aliwapa kibali cha unafuu, wataacha kumpenda?kwa mnyonge, akipata kile anachotafuta bila kusumbuliwa, ni Raha yake na anamuamini aliyemuwezesha,Hayati Rais John Pombe Magufuli aliweza hilo.

#Ahsante Rais Magufuli
#Pumzika kwa Amani Mwamba.

Hizi sifa ni kwa jizi la kura?
 
Siku 40 bila kuambiwa "kaeni na mavi yenu nyumbani msichafue vyoo vya serikali".
 
Marehemu dikiteta magufuli angemaliza muhula wake wa pili hii nchi ingedumbukia shimoni, thanks God kifo cha babu yenu happened for a good reason.
 
Acha ufala wewe mtoa Mara

Magufuli ndiye aliyeondoa FAO LA KUJITOA

Hao wanyonge' wamepata faida gani?

Kupora FAO la kujitoa NSSF na Pesa kuzichota ..
 
SIKU 40 BILA MWAMBA: ULITUHESHIMISHA SISI WANYONGE NA MASIKINI,PUMZIKA KWA AMANI JPM.

Katika awamu ya nne ya Rais Mstaafu Kikwete kurudi nyuma hadi Azimio la Zanzibar, Matajiri na Wafanyabiashara walikuwa na Jeuri za kila aina,kwa maana walianza kufanikiwa kuifanya CCM kuwa ya Wafanyabiashara, Wakulima na Wafanyakazi kitu ambacho kilikiuka miiko ya CCM iliyokuwa ya Chama Cha Wakulima na Wafanyakazi,na CCM ambayo inaongozwa na itikadi ya Kijamaa,sio ya Kibepari.

Dhana ya Wafanyabiashara kuhodhi mali za CCM na kuitawala CCM iliwapa jeuri Matajiri ambao wengi wao ni Wafanyabiashara waliokuwa wafadhiri lakini pia Mafisadi,jeuri ya Matajiri ilikuwa kubwa hasa awamu ya nne,matajiri walifikia mpaka kuamua uhai wa watu masikini waishi vipi wakae wapi wale nini kwa maana gap la tajiri na masikini lilikuwa kubwa na baadhi ya matajiri walikuwa na utajiri kiasi cha kuweza kuikopesha Serikali.

Alipoingia Hayati Rais Daktari John Pombe Magufuli alituheshimisha wanyonge ambao tulikuwa tukionewa na matajiri hata sauti zetu zisisikike popote, Wanyonge ambao hatukuwa na mtu wa kutupa kimemo ili twende kwa Mkurugenzi fulani atuajiri,Rais wa Awamu ya tano, Daktari John Pombe Magufuli alituheshimisha sisi Masikini (Mimi nikiwemo) kuwa hata sisi pia ndani ya hii Ardhi ya Mama Tanzania tuna thamani yetu,tuliokuwa matombo Morogoro tuliweza kupata ajira tukiwa kijijini matombo na wasiopata walikuwa na matumaini ya kupata, Hayati Rais Magufuli alitupa ujasiri (akatujaza) jeuri sisi masikini mpaka Matajiri nao wakaanza kutunyari (kutuogopa) Wanyonge na masikini nasi tukaanza kuona kuwa Tanzania ni nyumbani kwetu sio nyumbani kwa matajiri peke yao.

Watu wanauliza mnyonge ni nani? wengine wakianzisha kampeni wasiitwe wanyonge,lakini niwaambie mnyonge ni mtu yule anaepata mlo mmoja au miwili kwa siku, akipata milo mitatu kwa shida,inabidi achakarike na asisumbuliwe, mfano Mmachinga anafukuzwa na askari sehemu yake anayofanya biashara. JPM aliwapa kibali cha unafuu, wataacha kumpenda?kwa mnyonge, akipata kile anachotafuta bila kusumbuliwa, ni Raha yake na anamuamini aliyemuwezesha,Hayati Rais John Pombe Magufuli aliweza hilo.

#Ahsante Rais Magufuli
#Pumzika kwa Amani Mwamba.
Pumbaf zako wwewe,
Mnyonge ni wewe na ukoo wenu .
Yaani kuitwa mnyonge unaona sifa?
 
Kwahiyo na wewe ni mnyonge MATAGA?

Vipi mbona kale ka utafiti uchwara hujakaweka mwishoni hapo na namba za simu?
 
Alikuwa mwizi kama wezi wengine tu. Ila sema alizuia aina fulani ya wezi ili aibe yeye na genge lake.
 
Daah katika tawala zote zilizopita hakuna watu walioishi kama mashetani kama katika utawala wa awamu ya 5 si kwa matajiri si kwa masikini,ukija kwa wale aliowaita yeye ni mtawala wa wanyonge ndo walikatwa shingo kabisaa badala ya kunyongwa, kila kona yalikuwa ni Mayowe matupu kama nchi iko kwenye moto wa jehanamu aliyoandaliwa shetani na malaika wake.
Tanzania ya Magufuli na Jehanamu vilitofautiana majina tu! Mateso yalikuwa hayatofautiani kabisaaa.
 
Mkija kuzinduka mtakuwa mmchelewa sana
 
Back
Top Bottom