Siku 40 bila mwamba: Ulituheshimisha sisi wanyonge na masikini, pumzika kwa amani Hayati Dkt. Magufuli

UPUUZI MTUPU!!!
 
Kama upepo kama movie fulani hivi maisha ya mwanadamu ni upepo.
Amekwenda alipo ben, Azory,lwajaba,na wengine.
 
We kenge kafanye kazi acha kulalamika, unaitwa maskini na mnyonge unakubali?

Acheni tabia za kujilaani kwa kupenda kuitwa maskini na wanyonge, fanyeni kazi kwa bidii! Hukuumbwa kuwa maskini we boya amka!
Usingeweka matusi ungeeleweka zaidi
 
πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ‘πŸ½
Peleka upumbavu huko..

Mnyonge ni wee mwenyewe.
 
Aliwaheshimu wanyonge kwa kuwatoza 20,000 bila kutungiwa kanuni yyt ile ya kuwalinda?
Rais wa wanyonge anaye tapanya pesa za nchi kama mali yake binafsi?
 
Tafadhali usitute wanyonge kama unyonge ni huko kwenu, tuondolee mikosi hapa ya mataga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…