Siku 400 tangu Urusi ijiingize kwenye aibu ya kujaribu kuparamia Ukraine

Siku 400 tangu Urusi ijiingize kwenye aibu ya kujaribu kuparamia Ukraine

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Ukraine imepangua mashambulizi 47 juzi huku siku zikitimia 400 tangu Urusi ijiingize kwenye huu msala....

Kiev, Mar. 31, (dpa/GNA) - Ukrainian troops defeated several simultaneous Russian attacks on different sections of the eastern front as Ukrainian President Volodymyr Zelensky marked 400 days of conflict on Thursday.

The sections near Kupiansk, Limansk, Bakhmut, Avdiivka and Mariinsk were subjected to attacks, the Ukrainian military reported on Thursday.

“A total of 47 attacks by the enemy were repelled.”

Once again, the eastern Ukrainian town of Bakhmut, which has been heavily contested for months, was at the centre of the action, general staff in Kiev announced in its situation report.

“However, our defenders are bravely holding the city and repulsing numerous enemy attacks,” the General Staff’s statement on Facebook reads.

On the 400th day of the war against Russia, Zelensky made a sombre but hopeful nightly video address.

“Four hundred days of our defense against full-scale aggression. This is a colossal path that we have endured,” he said.
 
Unadhani, Uingereza hasira za kusema anawapa Ukraine mabomu ya depleted Uranium alizotoa wapi?
Hakuna jambo kama hilo, Yaani nyie huku mseme jambo kama hilo limetokea Urusi wenyewe wawe kimya!!?? Hebu tajeni eneo lilikotokea shambulio lenyewe. Mshambulizi yote yaliyofanywa Tarehe 9/03/2023 maeneo yalikofanyika yanajulikana!!
 
Ungetuwekea na mashambulizi yaliolenga target likiwemo hili la juzi lililowafukua makamanda wa NATO chini ya ardhi nadhani tungeenda sawa,,,, ama sio kubwa jinga!!!
Ni kwenye telegram na tweeter pekee ambapo Urusi anaweza kuishambulia NATO.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Ukraine imepangua mashambulizi 47 juzi huku siku zikitimia 400 tangu Urusi ijiingize kwenye huu msala....

Kiev, Mar. 31, (dpa/GNA) - Ukrainian troops defeated several simultaneous Russian attacks on different sections of the eastern front as Ukrainian President Volodymyr Zelensky marked 400 days of conflict on Thursday.

The sections near Kupiansk, Limansk, Bakhmut, Avdiivka and Mariinsk were subjected to attacks, the Ukrainian military reported on Thursday.

“A total of 47 attacks by the enemy were repelled.”

Once again, the eastern Ukrainian town of Bakhmut, which has been heavily contested for months, was at the centre of the action, general staff in Kiev announced in its situation report.

“However, our defenders are bravely holding the city and repulsing numerous enemy attacks,” the General Staff’s statement on Facebook reads.

On the 400th day of the war against Russia, Zelensky made a sombre but hopeful nightly video address.

“Four hundred days of our defense against full-scale aggression. This is a colossal path that we have endured,” he said.
Acha ngojera zako za kila siku -je, una source gani ya kuaminika zaidi ya a highly questionable MSN??

Je, jeshi lenu la Kenya leo hii ni siku ya ngapi tangu Mjiingize huko Somalia kupigana na Al Shaab - wamewashinda mpaka mnafikia hatua ya kuomba msaada wa Drones za jeshi la Merikani wakati nyinyi mna Helicopter gunships mlizo nunua Urusi lakini mnazifungia kwenye hangar kama sanamu,mchana mnawadharau Warusi lakini usiku mnakwenda kununua zana zao za kivita.

Haya twambie sum total za siku za jeshi la Kenya ilizo kwisha poteza huko Somalia chasing shadows, halafu ndio tulinganishe na siku ambazo wanamgambo wa kusini Mashariki mwa Ukraine wenye asili ya Urusi na kisaidiwa na wanajeshi wachache wa Urusi wanao pigana na jeshi la Ukraine na some US/NATO troops - sasa linganisha siku na muda wa jeshi lenu la Kenya lililo upoteza huko Somalia kabla hujaanza kuzodoa jeshi la Urusi na wanamgambo wake.

Mbona huwa hamsemi miaka ishirini (1955-1975) ambayo Merikani ilipoteza ikipigana huko VietNam na ikashindwa vibaya sana ( wao udai ni miaka kumi tu 1965-1975 lakini hiyo si kweli, Merikani ilianza kujiigiza kisiri siri kwenye vita ya VietNam tangu 1955) - sasa tuje vita ya Afghanistani na huko je, kulitokea nini mwaka juzi baada ya Merikani kupigana na Watalibani kwa miaka 20+ kwa mara nyingine tena tuliona Wamerikani wakitimua mbio wakiwakimbia Wataliban - jeshi la Wamerikani majigigambo mengii hasa kwenye media zao lukuki, lakini waleteni kwenye frontline ili wapigane ana kwa ana na adui wa kweli - utashangaa watakavyo timukia kusikojulikana.
 
Hacha ngojera zako za kila siku -je, una source gani ya kuiminika zaidi ya a highly questionable MSN??

Je, jeshi lenu la Kenya leo hii ni siku ya ngapi tangu Mjiingize huko Somalia kupigana na Al Shaab - wamewashinda mpaka mnafikia hatua ya kuomba msaada wa Drones za jeshi la Merikani wakati nyinyi mna Helicopter gunships mlizo nunua Urusi lakini mnazifungia kwenye hangar kama sanamu - twambie sum total za siku za jeshi la Kenya ilizo kwisha poteza huko Somalia chasing shadows, halafu ndio tulinganishe na siku ambazo wanamgambo wa kusini Mashariki mwa Ukraine wenye asili ya Urusi na kisaidiwa na wanajeshi wachache wa Urusi wanao pigana na jeshi la Ukraine na some US/NATO troops - sasa linganisha na siku za muda wa jeshi lenu la Kenya lililo upoteza huko Somalia kabla hujaanza kuzodoa jeshi la Urusi na wanamgambo. Mbona hamsemi miaka ishirini (1955-1975) ambayo Merikani ilipoteza ikipigana huko VietNam na ikashindwa vibaya sana, Afghanistani,je,nako Merikani imepigana na Watalibani kwa miaka 20, juzi juzi hapa na huko tuliona Wamerikani wakitimua mbio wakiwakimbia Wataliban - jeshi la Wamerikani majigigambo mengii kwenye media zao lukuki lakini waleteni kwenye frontline apigane ana kwa ana na adui wa kweli - utashangaa watakavyo timuka.
Na shule yako yote ulisoma sijui mpaka Urusi, hujui tofauti ya acha na hacha?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Majamaa wa Russia uwa wanajisikia vibaya sana kuvimbiwa na Ukraine, mda mwingine wanatamani watoke usingizini siku moja wakute mrusi kafika Kyiv aise watafurahia sana
Majamaa wa NATO uwa wanajisikia vibaya sana kuvimbiwa na Urusi,mda mwingine wanatamani watoke usingizini wakute Mrusi kawaachia mikoa minne.

Siku 400,,,,si mlisema Hawezi vita ya muda mrefu?

Siku 400,,,,mataifa 30 hamjarudisha hata mtaa?

Siku 400,,,, Kenya wananunua mafuta Kwa pesa yao,wameachana na dola.

Siku 400,,,,dola imekua karatasi iliyoaminika.
Screenshot_20230315-235225.jpg
 
Hakuna jambo kama hilo, Yaani nyie huku mseme jambo kama hilo limetokea Urusi wenyewe wawe kimya!!?? Hebu tajeni eneo lilikotokea shambulio lenyewe. Mshambulizi yote yaliyofanywa Tarehe 9/03/2023 maeneo yalikofanyika yanajulikana!!
Unajua kwa nini counteroffensive ya Ukraine imecheleweshwa tofauti na Zelensiky na makamanda wake walivyokuwa wanatamba?
===
===
Wamekubali kuwa wamebomoa. Leta lingine.
 
Na shule yako yote ulisoma sijui mpaka Urusi, hujui tofauti ya acha na hacha?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Leta maoni mbadala and not pick picking trivial things - kama huna maoni tofauti basi tena.

One more thing, mimi nimesoma Vyuo vikuu vya mataifa ya magharibi, sijawahi kwenda Urusi wala Uchina - nawaunga mkono Warusi, Wachina na North Korea kwa sababu ndio mataifa yaliyo baki pekee Duniani yenye uwezo mkubwa wa kuikomboa Dunia dhidi ya uwenda wazimu wa mataifa ya magharibi specifically Merikani, kama wewe hilo ulioni basi tena.
 
Acha ngojera zako za kila siku -je, una source gani ya kuiminika zaidi ya a highly questionable MSN??

Je, jeshi lenu la Kenya leo hii ni siku ya ngapi tangu Mjiingize huko Somalia kupigana na Al Shaab - wamewashinda mpaka mnafikia hatua ya kuomba msaada wa Drones za jeshi la Merikani wakati nyinyi mna Helicopter gunships mlizo nunua Urusi lakini mnazifungia kwenye hangar kama sanamu.

Haya twambie sum total za siku za jeshi la Kenya ilizo kwisha poteza huko Somalia chasing shadows, halafu ndio tulinganishe na siku ambazo wanamgambo wa kusini Mashariki mwa Ukraine wenye asili ya Urusi na kisaidiwa na wanajeshi wachache wa Urusi wanao pigana na jeshi la Ukraine na some US/NATO troops - sasa linganisha na siku za muda wa jeshi lenu la Kenya lililo upoteza huko Somalia kabla hujaanza kuzodoa jeshi la Urusi na wanamgambo.

Mbona huwa hamsemi miaka ishirini (1955-1975) ambayo Merikani ilipoteza ikipigana huko VietNam na ikashindwa vibaya sana ( wao udai ni miaka kumi tu 1965-1975 lakini hiyo si kweli, Merikani ilianza kujiigiza kisiri siri kwenye vita ya VietNam tangi 1955) - sasa tuje vita ya Afghanistani na huko je, kulitokea nini mwaka juzi baada ya Merikani kupigana na Watalibani kwa miaka 20+ kwa mara nyingine tena tuliona Wamerikani wakitimua mbio wakiwakimbia Wataliban - jeshi la Wamerikani majigigambo mengii hasa kwenye media zao lukuki, lakini waleteni kwenye frontline apigane ana kwa ana na adui wa kweli - utashangaa watakavyo timuka.

Mzee wa insha ndio umeandika nini maana sina muda wa kusoma upupu wote huu, nimeona neno Kenya nikapuuza upupu wote, siku hizi umehamia Kenya, pole ila mlichagua wrong 'god' mr Putin....hehehe
 
Back
Top Bottom