Siku 400 tangu Urusi ijiingize kwenye aibu ya kujaribu kuparamia Ukraine

Siku 400 tangu Urusi ijiingize kwenye aibu ya kujaribu kuparamia Ukraine

Malengo yalishatimia ila kilichobaki Russia anapambana na NATO pale Ukraine.
 
Mkuu ,
Jikite kwenye mada au anzisha Uzi mpya tafadhali..
Hapa inajadiliwa vita batili ya Putin
Msijaribu kukwepa masuala yenye logic - mimi ninacho hoji hapa kinahusu moral Authority ya kumsema sema Putin na Russia in Partcular nika muhoji huyo vocal Kenyan kwamba you as a Kenyan una moral Authority gani ya kuhoji masuala ua Ukraine wakati jeshi lenu bado lipo huko Somalia na alijaweza ku-achieve kitu chochote cha maana na huu nimwaka wa ngapi tangu waende huko?? Lakini juzi hapa alitujia na ngonjera zake eti Urusi impepigana siku 444 huko Ukraine bila ya mafanikio yoyote!!! Jeshi lenu limefanikwa. nini huko Somalia na Congo DRC, eti mambo hayo hayana uhusiano wowote wakati mkijua kabisa kinacho ongelewa hapa ni vita na uvamizi - kwa nini mnataka kulazimisha masuala ya Ukraine yawe tofauti na masuala ya jeshi. la Kenya huko Somalia. Double standard!!
 
Watanzania wengi Wana mabaha na Warusi waende wakaolewe na WA Russia waone walivyo wabaguzi maanina zao .
 
Back
Top Bottom