bongo-live
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 1,141
- 1,294
supapawa mzee putin akubali tu hapo kwa ukrain kaingia cha kike maana dah.....kila siku anaaibishwa nomaa mazee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elimu kwa ujumla huboresha kile kilichopo. Kama mtu ana akili kidogo, hata akisoma peponi uwezo wake hubaki kuwa below average. Wazo la kuikomboa dunia ni wazo mfu, inakombolewa dhidi ya nani? Urusi ni taifa linaloendesha biashara za vifo siku nyingi kwa kuuza silaha za magendo. China anachokifanya kwa nchi ni uporaji wa mchana, wizi wa rasilimali na mikopo isiyolipika.Leta maoni mbadala and not pick picking trivial things - kama huna maoni tofauti basi tena.
One more thing, mimi nimesoma Vyuo vikuu vya mataifa ya magharibi, sijawahi kwenda Urusi wala Uchina - nawaunga mkono Warusi, Wachina na North Korea kwa sababu ndio mataifa yaliyo baki pekee Duniani yenye uwezo mkubwa wa kuikomboa Dunia dhidi ya uwenda wazimu wa mataifa ya magharibi specifically Merikani, kama wewe hilo ulioni basi tena.
[emoji28]Majamaa wa Russia uwa wanajisikia vibaya sana kuvimbiwa na Ukraine, mda mwingine wanatamani watoke usingizini siku moja wakute mrusi kafika Kyiv aise watafurahia sana
Mzee wa insha ndio umeandika nini maana sina muda wa kusoma upupu wote huu, nimeona neno Kenya nikapuuza upupu wote, siku hizi umehamia Kenya, pole ila mlichagua wrong 'god' mr Putin....hehehe
Kwani bandiko lako si linazungumzia siku 444 za vita nchini Ukraine, labda tianzie hapo ,kwaza mimi nilikuwa nazungumza kitu gani zaidi kama sio kuwakumbusha wasomaji/members kwamba mbona kuna baadhi ya mapigano ambayo yalichukua miaka ishirini kabla ya kusitishwa na nikatoa mifano live, nikiwa na lengo la kumdhibiti MK-254 kwamba wakati mwingine awe makini kwa kile anacho kiandika.
Tatizo lake kubwa hasa anapo shindwa hoja ukimbilia kutumbukiza mambo yake ya kugeuza geuza maneno akiwa na lengo la kukwepa hoja ie ku-mask mapungufu yake anapo shindwa kujibu hoja kwa hoja.
Mkuu labda nikumbushe kitu kimoja tunajua vizuri somo la saikolojia ni wazi kule kujibu hoja yangu kunaonyesha wazi wazi kwamba imeku-touch deeply ndio maana ulishidwa kui-ignore, badala yake unatujia na majibu yako ya kitoto toto just to sooth your ego - basi.
Nani ambaye hajui kwamba ulitujia na adithi hizi kwa lengo la kutaka kujaribu kuonyesha as if Putin vita inaelekea kumshinda kwa kuwa leo ni siku ya 444 na hakuna dalili zozote za kushinda vita - sasa kwa kuwa wewe umezoea sana kuwazuga watu na kuwafanya kama hawajaenda shule vile!!
Ndio maana nikakukumbusha kwamba kwani siku 444 zina maajabu gani, mbona jeshi lenu la Kenya bado lipo huko Somalia,, basi tupatie walao mrejesho wa siku au miaka waliyo kaa huko Somalia ili tulinganishe na siku ambazo jeshi la Urusi limepigana nchini Ukraine - ni swali la msingi sana lakini yeye na like mind wenzake wamelikwepa kulijibu badala yake wanatujia na adithi za Alinacha za kila siku zenye lengo la kuzodoa jeshi la Urusi na wanamgambo - sasa mimi nika ku-counter upuuzi wako kwa kumkumbusha kwamba kabla ujalisema vibaya jeshi la Urusi ebu twambie jeshi lenu la Kenya limekwisha kaa siku/miaka mingapi nchini Somalia na wame achieve nini so far, sio kila siku unatijia na adithi za Urusi na Ukraine tuletee na adithi za jeshi lenu huko Somalia na Congo DRC.
Hapa nataka kukumbusha nini: kwamba TOA KWANZA BOLITI KWENYE jicho lako kabla ujakimbilia kutoa kibanzi kwenye jicho la mwenzako.
.
.
Leta maoni yako mbadala lakini sio kuzodoa watu, sina muda wa kijiingiza kwenye unnecessary contention kwa binadamu ambaye anaonekana wazi wazi amekwisha ji-tune kuleta ubishi husio na kichwa wala miguu - please revisit your skewed comments what do they tell you about your PERSONNA.Elimu kwa ujumla huboresha kile kilichopo. Kama mtu ana akili kidogo, hata akisoma peponi uwezo wake hubaki kuwa below average. Wazo la kuikomboa dunia ni wazo mfu, inakombolewa dhidi ya nani? Urusi ni taifa linaloendesha biashara za vifo siku nyingi kwa kuuza silaha za magendo. China anachokifanya kwa nchi ni uporaji wa mchana, wizi wa rasilimali na mikopo isiyolipika.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Mirembe case.Leta maoni yako mbadala lakini sio kuzodoa watu, sina muda wa kijiingiza kwenye unnecessary contention kwa binadamu ambaye anaonekana wazi wazi amekwisha ji-tune kuleta ubishi husio na kichwa wala miguu - please revisit your skewed comments what do they tell you about your PERSONNA.
Ss kama ww hizo taarifa unazo ndio ungeweka mkuu.Ungetuwekea na mashambulizi yaliolenga target likiwemo hili la juzi lililowafukua makamanda wa NATO chini ya ardhi nadhani tungeenda sawa,,,, ama sio kubwa jinga!!!
Chanzo cha habari kubwa kama hiyo hakiwezi kuwa Tweeter au Telegram.Unajua kwa nini counteroffensive ya Ukraine imecheleweshwa tofauti na Zelensiky na makamanda wake walivyokuwa wanatamba?
===
===
Wamekubali kuwa wamebomoa. Leta lingine.
Unataka chanzo gani cha kukupasga habari kubwa kama hiyo?Chanzo cha habari kubwa kama hiyo hakiwezi kuwa Tweeter au Telegram.
Hata "RT" wasingetangaza tena kwa mbwembwe!!U
Unataka chanzo gani cha kukupasga habari kubwa kama hiyo?
Yataje hayo malengoNa bado hataweza fanikisha malengo yake
Kuizuia Ukraine isiwe na jeshi lenye nguvu,kuweka vibaraka wake Ukraine na kumzuia Ukraine asiingie NATOYataje hayo malengo
Tupe na assessment ya SMO..Kuizuia Ukraine isiwe na jeshi lenye nguvu,kuweka vibaraka wake Ukraine na kumzuia Ukraine asiingie NATO
Majamaa wa NATO uwa wanajisikia vibaya sana kuvimbiwa na Urusi,mda mwingine wanatamani watoke usingizini wakute Mrusi kawaachia mikoa minne.
Siku 400,,,,si mlisema Hawezi vita ya muda mrefu?
Siku 400,,,,mataifa 30 hamjarudisha hata mtaa?
Siku 400,,,, Kenya wananunua mafuta Kwa pesa yao,wameachana na dola.
Siku 400,,,,dola imekua karatasi iliyoaminika.View attachment 2572924
Kwani bandiko lako si linazungumzia siku 444 za vita nchini Ukraine, labda tianzie hapo ,kwaza mimi nilikuwa nazungumza kitu gani zaidi kama sio kuwakumbusha wasomaji/members kwamba mbona kuna baadhi ya mapigano ambayo yalichukua miaka ishirini kabla ya kusitishwa na nikatoa mifano live, nikiwa na lengo la kumdhibiti MK-254 kwamba wakati mwingine awe makini kwa kile anacho kiandika.
Tatizo lake kubwa hasa anapo shindwa hoja ukimbilia kutumbukiza mambo yake ya kugeuza geuza maneno akiwa na lengo la kukwepa hoja ie ku-mask mapungufu yake anapo shindwa kujibu hoja kwa hoja.
Mkuu labda nikumbushe kitu kimoja tunajua vizuri somo la saikolojia ni wazi kule kujibu hoja yangu kunaonyesha wazi wazi kwamba imeku-touch deeply ndio maana ulishidwa kui-ignore, badala yake unatujia na majibu yako ya kitoto toto just to sooth your ego - basi.
Nani ambaye hajui kwamba ulitujia na adithi hizi kwa lengo la kutaka kujaribu kuonyesha as if Putin vita inaelekea kumshinda kwa kuwa leo ni siku ya 444 na hakuna dalili zozote za kushinda vita - sasa kwa kuwa wewe umezoea sana kuwazuga watu na kuwafanya kama hawajaenda shule vile!!
Ndio maana nikakukumbusha kwamba kwani siku 444 zina maajabu gani, mbona jeshi lenu la Kenya bado lipo huko Somalia,, basi tupatie walao mrejesho wa siku au miaka waliyo kaa huko Somalia ili tulinganishe na siku ambazo jeshi la Urusi limepigana nchini Ukraine - ni swali la msingi sana lakini yeye na like mind wenzake wamelikwepa kulijibu badala yake wanatujia na adithi za Alinacha za kila siku zenye lengo la kuzodoa jeshi la Urusi na wanamgambo - sasa mimi nika ku-counter upuuzi wako kwa kumkumbusha kwamba kabla ujalisema vibaya jeshi la Urusi ebu twambie jeshi lenu la Kenya limekwisha kaa siku/miaka mingapi nchini Somalia na wame achieve nini so far, sio kila siku unatijia na adithi za Urusi na Ukraine tuletee na adithi za jeshi lenu huko Somalia na Congo DRC.
Hapa nataka kukumbusha nini: kwamba TOA KWANZA BOLITI KWENYE jicho lako kabla ujakimbilia kutoa kibanzi kwenye jicho la mwenzako.
.
.
Leta maoni mbadala and not pick picking trivial things - kama huna maoni tofauti basi tena.
One more thing, mimi nimesoma Vyuo vikuu vya mataifa ya magharibi, sijawahi kwenda Urusi wala Uchina - nawaunga mkono Warusi, Wachina na North Korea kwa sababu ndio mataifa yaliyo baki pekee Duniani yenye uwezo mkubwa wa kuikomboa Dunia dhidi ya uwenda wazimu wa mataifa ya magharibi specifically Merikani, kama wewe hilo ulioni basi tena.
Elimu kwa ujumla huboresha kile kilichopo. Kama mtu ana akili kidogo, hata akisoma peponi uwezo wake hubaki kuwa below average. Wazo la kuikomboa dunia ni wazo mfu, inakombolewa dhidi ya nani? Urusi ni taifa linaloendesha biashara za vifo siku nyingi kwa kuuza silaha za magendo. China anachokifanya kwa nchi ni uporaji wa mchana, wizi wa rasilimali na mikopo isiyolipika.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Mkuu ,Acha ngojera zako za kila siku -je, una source gani ya kuaminika zaidi ya a highly questionable MSN??
Je, jeshi lenu la Kenya leo hii ni siku ya ngapi tangu Mjiingize huko Somalia kupigana na Al Shaab - wamewashinda mpaka mnafikia hatua ya kuomba msaada wa Drones za jeshi la Merikani wakati nyinyi mna Helicopter gunships mlizo nunua Urusi lakini mnazifungia kwenye hangar kama sanamu,mchana mnawadharau Warusi lakini usiku mnakwenda kununua zana zao za kivita.
Haya twambie sum total za siku za jeshi la Kenya ilizo kwisha poteza huko Somalia chasing shadows, halafu ndio tulinganishe na siku ambazo wanamgambo wa kusini Mashariki mwa Ukraine wenye asili ya Urusi na kisaidiwa na wanajeshi wachache wa Urusi wanao pigana na jeshi la Ukraine na some US/NATO troops - sasa linganisha siku na muda wa jeshi lenu la Kenya lililo upoteza huko Somalia kabla hujaanza kuzodoa jeshi la Urusi na wanamgambo wake.
Mbona huwa hamsemi miaka ishirini (1955-1975) ambayo Merikani ilipoteza ikipigana huko VietNam na ikashindwa vibaya sana ( wao udai ni miaka kumi tu 1965-1975 lakini hiyo si kweli, Merikani ilianza kujiigiza kisiri siri kwenye vita ya VietNam tangu 1955) - sasa tuje vita ya Afghanistani na huko je, kulitokea nini mwaka juzi baada ya Merikani kupigana na Watalibani kwa miaka 20+ kwa mara nyingine tena tuliona Wamerikani wakitimua mbio wakiwakimbia Wataliban - jeshi la Wamerikani majigigambo mengii hasa kwenye media zao lukuki, lakini waleteni kwenye frontline ili wapigane ana kwa ana na adui wa kweli - utashangaa watakavyo timukia kusikojulikana.