Siku 400 tangu Urusi ijiingize kwenye aibu ya kujaribu kuparamia Ukraine

Elimu kwa ujumla huboresha kile kilichopo. Kama mtu ana akili kidogo, hata akisoma peponi uwezo wake hubaki kuwa below average. Wazo la kuikomboa dunia ni wazo mfu, inakombolewa dhidi ya nani? Urusi ni taifa linaloendesha biashara za vifo siku nyingi kwa kuuza silaha za magendo. China anachokifanya kwa nchi ni uporaji wa mchana, wizi wa rasilimali na mikopo isiyolipika.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Mzee wa insha ndio umeandika nini maana sina muda wa kusoma upupu wote huu, nimeona neno Kenya nikapuuza upupu wote, siku hizi umehamia Kenya, pole ila mlichagua wrong 'god' mr Putin....hehehe

Kwani bandiko lako si linazungumzia siku 444 za vita nchini Ukraine, labda tianzie hapo ,kwaza mimi nilikuwa nazungumza kitu gani zaidi kama sio kuwakumbusha wasomaji/members kwamba mbona kuna baadhi ya mapigano ambayo yalichukua miaka ishirini kabla ya kusitishwa na nikatoa mifano live, nikiwa na lengo la kumdhibiti MK-254 kwamba wakati mwingine awe makini kwa kile anacho kiandika.

Tatizo lake kubwa hasa anapo shindwa hoja ukimbilia kutumbukiza mambo yake ya kugeuza geuza maneno akiwa na lengo la kukwepa hoja ie ku-mask mapungufu yake anapo shindwa kujibu hoja kwa hoja.

Mkuu labda nikumbushe kitu kimoja tunajua vizuri somo la saikolojia ni wazi kule kujibu hoja yangu kunaonyesha wazi wazi kwamba imeku-touch deeply ndio maana ulishidwa kui-ignore, badala yake unatujia na majibu yako ya kitoto toto just to sooth your ego - basi.

Nani ambaye hajui kwamba ulitujia na adithi hizi kwa lengo la kutaka kujaribu kuonyesha as if Putin vita inaelekea kumshinda kwa kuwa leo ni siku ya 444 na hakuna dalili zozote za kushinda vita - sasa kwa kuwa wewe umezoea sana kuwazuga watu na kuwafanya kama hawajaenda shule vile!!

Ndio maana nikakukumbusha kwamba kwani siku 444 zina maajabu gani, mbona jeshi lenu la Kenya bado lipo huko Somalia,, basi tupatie walao mrejesho wa siku au miaka waliyo kaa huko Somalia ili tulinganishe na siku ambazo jeshi la Urusi limepigana nchini Ukraine - ni swali la msingi sana lakini yeye na like mind wenzake wamelikwepa kulijibu badala yake wanatujia na adithi za Alinacha za kila siku zenye lengo la kuzodoa jeshi la Urusi na wanamgambo - sasa mimi nika ku-counter upuuzi wako kwa kumkumbusha kwamba kabla ujalisema vibaya jeshi la Urusi ebu twambie jeshi lenu la Kenya limekwisha kaa siku/miaka mingapi nchini Somalia na wame achieve nini so far, sio kila siku unatijia na adithi za Urusi na Ukraine tuletee na adithi za jeshi lenu huko Somalia na Congo DRC.

Hapa nataka kukumbusha nini: kwamba TOA KWANZA BOLITI KWENYE jicho lako kabla ujakimbilia kutoa kibanzi kwenye jicho la mwenzako.
.
.
 

Wapi nimesema siku 444, mbona unateseka hivi, maeno mengi ila pointi sifuri, siwezi nikayasoma yote, kwa hasara aliyoingia Urusi na kiherehere mlichokua nacho wakati anaanza huu ujinga ilipaswa afumue hako ka-Ukraine kwa wiki moja, ila ameliwa hadi raha.
 
Leta maoni yako mbadala lakini sio kuzodoa watu, sina muda wa kijiingiza kwenye unnecessary contention kwa binadamu ambaye anaonekana wazi wazi amekwisha ji-tune kuleta ubishi husio na kichwa wala miguu - please revisit your skewed comments what do they tell you about your PERSONNA.
 
Mirembe case.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 

Putin ndio alisema atamaliza shughuli ndani ya saa 72.
Tena akaenda mbali zaidi na kuwataka wanajeshi wa Ukraine wampindue Zelensky la sivyo watachukua kipigo heavy
 

Hivi huu muda wa kuandika hili gazeti lote kwa ajili ya kumtetea bwana ako Putin unautoa wapi?
Huna kazi ya kufanya
 
Hizi ni ngonjera, hakuna cha ajabu wewe kusoma vyuo vya magharibi na ukawa proPutin, Chichidodo wapo kote duniani.
 
Huyo kilaza ni hasara sana kwa jamii ya binadamu.
 
Mkuu ,
Jikite kwenye mada au anzisha Uzi mpya tafadhali..
Hapa inajadiliwa vita batili ya Putin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…