Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Na bado mi sijachanga_tajiri la katoroHakika Shetani hajawahi kumshinda Mungu
Hii ni rekodi ya ajabu Sana!
Hakuna fisadi huku, tambua maana ya tonetoneKama kweli mnapendwa na nchi nzima ilitakiwa iwe billioni 70 sio milioni 70 kwa siku 5
Kama mngekuwa na wanachama active tu laki moja wakatoa 1000 mngekuwa na 100 million ila kwa sababu nyie ni waongo na sidhani kama wanachama wetu wanafika hata elfu 50, ni aibu sana mmepoteza credibility inaongesha chama chenu kinaungwa mkono na wajinga wachache sana jitathmini sana million 300 ilikuwa ya siku moja tu tena masaa mawili tuHakuna fisadi huku, tambua maana ya tonetone
Kwenye nchi ya working population 45 million people mmeshindwa kushawishi watu lk 1 tu wamalize huu mchezo kwa masaa 2 tu? Kwa sababu watu laki 1 wangetoa just 1000 huu mchango unakamilika kwa masaa 2 tu mlivyo wajinga mnajisifia umasikini uongo umekubuhu mmeppgeza uungwaji mkonoHakuna fisadi huku, tambua maana ya tonetone
Nyie ni waongo matapeli kuliko hata CCM yanahongwa na kuhubiri ushoga mashenxi nyie mbwa kokoHakuna fisadi huku, tambua maana ya tonetone
Tangu lini jf ikasajili vichaa?Nyie ni waongo matapeli kuliko hata CCM yanahongwa na kuhubiri ushoga mashenxi nyie mbwa koko
Unakabia kwa juu sanaKwenye nchi ya working population 45 million people mmeshindwa kushawishi watu lk 1 tu wamalize huu mchezo kwa masaa 2 tu? Kwa sababu watu laki 1 wangetoa just 1000 huu mchango unakamilika kwa masaa 2 tu mlivyo wajinga mnajisifia umasikini uongo umekubuhu mmeppgeza uungwaji mkono
hakuna wakwepa kodi huku kwamba watoe bilioni moja ili mzg upite bila kukaguliwa bandariniKama mngekuwa na wanachama active tu laki moja wakatoa 1000 mngekuwa na 100 million ila kwa sababu nyie ni waongo na sidhani kama wanachama wetu wanafika hata elfu 50, ni aibu sana mmepoteza credibility inaongesha chama chenu kinaungwa mkono na wajinga wachache sana jitathmini sana million 300 ilikuwa ya siku moja tu tena masaa mawili tu
hata ingekuwa m1 hakuna ubaya uzuri imetoka kwa wenye moyo na maono ya mabadirikoYaah milion 70 ni za kutamba.?? Kweli mmefilisika ... si mnadai nyie ni nguvu ya umma?
Mpaka sasa Harambee imefeli vibaya sana na pesa halisi ni milion 27 tu mmekusanya acheni maigizo hii sio kamati ya Sendoff
Mkuu mbona mbogamboga wameshindwa ilibidi walazimishe kuchangiwa na matapeli ya kimataifa, jueni nyie ndio chanzo cha watu kukosa kipato, hata hiyo hela ni nyingi Chadema ni chama cha wanyonge na si mabwenyenyeKama mngekuwa na wanachama active tu laki moja wakatoa 1000 mngekuwa na 100 million ila kwa sababu nyie ni waongo na sidhani kama wanachama wetu wanafika hata elfu 50, ni aibu sana mmepoteza credibility inaongesha chama chenu kinaungwa mkono na wajinga wachache sana jitathmini sana million 300 ilikuwa ya siku moja tu tena masaa mawili tu
Hakuna Milioni 70 ndg.hata ingekuwa m1 hakuna ubaya uzuri imetoka kwa wenye moyo na maono ya mabadiriko
fikiria m70 ili hali imetembea hela kwenye media na kuwaaminisha watu heche mwizi ila bado wanachanga
ujiulizi ni imani kiasi gani watu wanayo juu ya chama hiki
hakuna wakwepa kodi huku kwamba watoe bilioni moja ili mzg upite bila kukaguliwa bandarini
Kwahiyo mnataka kusema hamna watu hata watu laki moja watoe buku kila mmoja mmpate milioni 100hata ingekuwa m1 hakuna ubaya uzuri imetoka kwa wenye moyo na maono ya mabadiriko
fikiria m70 ili hali imetembea hela kwenye media na kuwaaminisha watu heche mwizi ila bado wanachanga
ujiulizi ni imani kiasi gani watu wanayo juu ya chama hiki
Binafsi nachangia Chama changu nusu ya fedha chadema wamepata kwa siku 5Mkuu mbona mbogamboga wameshindwa ilibidi walazimishe kuchangiwa na matapeli ya kimataifa, jueni nyie ndio chanzo cha watu kukosa kipato, hata hiyo hela ni nyingi Chadema ni chama cha wanyonge na si mabwenyenye
Hivi mna akili kweli, hii million 300 haki ya Mungu ilikuwa ya masaa mawili tu kama kweli matapeli haya yangekuwa yanakubalika tena just billion 1 ni ya masaa mawili sasa nyie 300 million ichukue siku 2 kweli are you really serious Chadema ni matapeli ya kiwango cha hali ya juu yamekuwa ombaomba kama nini, siasa bila pesa hamuiwezi mnekuwa matonyashata ingekuwa m1 hakuna ubaya uzuri imetoka kwa wenye moyo na maono ya mabadiriko
fikiria m70 ili hali imetembea hela kwenye media na kuwaaminisha watu heche mwizi ila bado wanachanga
ujiulizi ni imani kiasi gani watu wanayo juu ya chama hiki
Binafsi nachangia Chama changu nusu ya fedha chadema wamepata kwa siku 5
Kiukweli chadema inachekesha.
Taarifa za ndani mchango umefika milion 26 na sio 70 za porojo
Haya yameshindwa kulima yamejiunga na genge la matapeli kama ya yale kwenye simu kwamba tumia kwa namba hii,Hakuna Milioni 70 ndg.
Hizo ni propaganda.
Mpaka sasa awajafika milion 30
Yaan Chadema Chama chao ujitampa eti wafuasi milion 6 dah kweli hawa ni mazuzu... wafuasi wamekula nyoya sio
Weww jamaa ni bonge la tapeli sana tunakujua vizuri hauna kazi yoyote ni uchawa na ombaomba manaume mazima yamekuwa ombaomba njoeni kanda ya ziwa huku angalau mtahurumiwa kuchangiwa hat 500millionTangu lini jf ikasajili vichaa?