Siku 5 za Marathon ya CHADEMA Tsh. Milioni 70 zachangwa

Siku 5 za Marathon ya CHADEMA Tsh. Milioni 70 zachangwa

Wewe ni mpumbavu. Unawachukia watu ambao hawakuombi chochote wala huwasaidii chochote
Chadema nl genge la matapeli manyonya damu utofauti wao na ccm ni kwamba haya ni mavampire makubw chadema ni vikunguni vinanyonya na kuacha magonjwa
 
Upande mmoja wanayo hoja ya msingi Chadema kinachangisha million 27 kwa siku 5. 🫡🫡

imagine

YANGA masaa machache million 40
Za jumba la Dhahabu👈

Na bado mnaamini Wananchi wapo upande wenu🫎🫎👈

wamewasikia na hawakupiga
kura. 🫎

Mana utasikia kwanza kachaguliwa nanani 🤠🤠
Maomba waimarishe vyanzo vingine vya mapato kama bile Kadi za yanachama,ti shirt nk. wafanye ubunifu endelevu wa kkmapato
 
Back
Top Bottom