wewe ulipopata 98% unafikiria kila mtu anafabricate nenda voda wakupe statement na analysis za miamala japo mimi sijachangiaAcha maelezo mengi, kiuhalisia hata hio mil 70 tunawajua vizuri kwa taarifa za uongo! wewe unachangisha vp nchi nzima mil 70, maana yake ushawishi wako umeisha