Rocky City
JF-Expert Member
- Nov 22, 2017
- 1,014
- 816
Waliokuzaa wote ni vichaaaAcha maelezo mengi, kiuhalisia hata hio mil 70 tunawajua vizuri kwa taarifa za uongo! wewe unachangisha vp nchi nzima mil 70, maana yake ushawishi wako umeisha
Waliokuzaa wote ni vichaaaAcha maelezo mengi, kiuhalisia hata hio mil 70 tunawajua vizuri kwa taarifa za uongo! wewe unachangisha vp nchi nzima mil 70, maana yake ushawishi wako umeisha
Mkuu buku buku had zifike sio mchezo,pili hawapendwi na nchi nzima ndio maana hujachangaKama kweli mnapendwa na nchi nzima ilitakiwa iwe billioni 70 sio milioni 70 kwa siku 5
hao ambao sio vichaa ndo wamefikisha mil 70Waliokuzaa wote ni vichaaa
Kupiga kura huhitaji kutoa hata sent tano. Ukitaka kujua michango ya hiyari ni tatizo, itisha michango kwenye ukoo wenu hata wa shilingi 2,000 kima cha chini, uone utapata kiasi gani. Kisha uje utoe mrejesho hapa.Nimewashauri mtoe buku buku au hata hio hamna??
Basi kama hamna hata buku saa ngapi utaweza kwenda kupiga kura wakati hata buku huna
Na mnawaouunga mkono Chadema nchi mzima mko wangapi?
Maana mngefika hata laki 3 na kila mmoja atoe buku ingekuwa ni ndani saa moja mnapata milioni 300
Au hata na hesabu hamjui???
Chama kinaendeshwa na wanachama, kitaachaje kuchangiwa? Ama unadhani hicho chama ni kundi la wafanyabiashara? Inaonekana propaganda za ccm zimekuteka, na sasa unazitumia kutoa angalizo.NA NYIE PINGUZENU MICHANGO N DIO MAANA MMEANZA KUTOAMINIANA KILA SIKU MICHANGO
PELEKEN KWA YATIMA
Mnamuandalia heche maokoto ya kula bata amakweli wajinga ndio waliwaoHakika Shetani hajawahi kumshinda Mungu
Hii ni rekodi ya ajabu Sana!
UPDATES
××××××××
Taarifa Mpya zinaeleza kwamba sasa ni zaidi ya Mil 100, tunakimbilia mil 200
Huwezi kupiga kura bila NIDAKupiga kura huhitaji kutoa hata sent tano.
Mwigulu kapanga kufunga akaunti za Chadema🤣 🤣 watu wa kikundi cha chadema kazi wanayo
Wewe ni mpumbavu. Unaongea kwa uchungu wa wivu kwa chademaKama mngekuwa na wanachama active tu laki moja wakatoa 1000 mngekuwa na 100 million ila kwa sababu nyie ni waongo na sidhani kama wanachama wetu wanafika hata elfu 50, ni aibu sana mmepoteza credibility inaongesha chama chenu kinaungwa mkono na wajinga wachache sana jitathmini sana million 300 ilikuwa ya siku moja tu tena masaa mawili tu
Mbona wewe ***** unaumia sana na chadema? Meza panadolHivi mna akili kweli, hii million 300 haki ya Mungu ilikuwa ya masaa mawili tu kama kweli matapeli haya yangekuwa yanakubalika tena just billion 1 ni ya masaa mawili sasa nyie 300 million ichukue siku 2 kweli are you really serious Chadema ni matapeli ya kiwango cha hali ya juu yamekuwa ombaomba kama nini, siasa bila pesa hamuiwezi mnekuwa matonyas
Chadema ni matapeli sana ety wana wanachama millionl 10 yanahangalka kuchangish million 334 siku sijui 7 leo hakuna mwelekeo nayachukia sana mapumbavuWewe ni mpumbavu. Unaongea kwa uchungu wa wivu kwa chadema
Unadhani kwanini mamaako hakwenda kwenye harambee ya ccm badala yake akaenda huyu?Chadema ni matapeli sana ety wana wanachama millionl 10 yanahangalka kuchangish million 334 siku sijui 7 leo hakuna mwelekeo nayachukia sana mapumbavu
Chama cha matapeli nyieUnadhani kwanini mamaako hakwenda kwenye harambee ya ccm badala yake akaenda huyu?
View attachment 3631449
Suala siyo zimefika shilingi ngapi?Hao wanaotoa hiyo michango wana uchumi wa kiwango kipi?Ukitumia akili kidogo tu, huwezi kuuliza swali kama hilo.Tena inaitwa tonetone na wala siyo ile "TIENITIENI KWA MOYO MMOJA"!Kama kweli mnapendwa na nchi nzima ilitakiwa iwe billioni 70 sio milioni 70 kwa siku 5
Walikuwa nazo?Ulitaka wamuibie nani ili zifikie ulivyotaka?😂😂😂😂70m kwa siku tano
Roho inakuuma sana utadhani uliwachangia wakakutapeli.Chama cha matapeli nyie
Hawawezi kuelewa hao kwa akili nyebamba hizo.Unadhani kwanini mamaako hakwenda kwenye harambee ya ccm badala yake akaenda huyu?
View attachment 3631449
Wewe ni mpumbavu. Unawachukia watu ambao hawakuombi chochote wala huwasaidii chochoteChadema ni matapeli sana ety wana wanachama millionl 10 yanahangalka kuchangish million 334 siku sijui 7 leo hakuna mwelekeo nayachukia sana mapumbavu
NIDA ni Bure we chawa.Huwezi kupiga kura bila NIDA
Kupata NIDA. ni shillings ngapi vile ????