Siku 5 za Marathon ya CHADEMA Tsh. Milioni 70 zachangwa

Nina uhakika angekuwepo Statesman Mbowe ingefanyika kimya na wangepata zaidi ya billioni za madafu kutokana na kipindi chake chadema kuwa na siasa safi iliyovutia wananchi
 
Kama mngekuwa na wanachama active tu laki moja wakatoa 1000 mngekuwa na 100 million ila kwa sababu nyie ni waongo na sidhani kama wanachama wetu wanafika hata elfu 50, ni aibu sana mmepoteza credibility inaongesha chama chenu kinaungwa mkono na wajinga wachache sana jitathmini sana million 300 ilikuwa ya siku moja tu tena masaa mawili tu
Hujui usemacho wala ufikiricho masikini wa akili na ufahamu wewe...!!

CHADEMA INACHANGIWA NA WANANCHI WA KAWAIDA WA CHINI KABISA, WAPIGA KURA HALISI KWA HIARI. CCM HULAZIMISHA WAFANYABIASHARA MAFISADI WAIPE PESA NA HIVYO KUJIUZA KWAO KWA MABILIONI!!​

CHADEMA inachangiwa na watu wa kawaida kabisa kwa kutoa 100 au 200 au 500 au 1,000 au 5,000 tu

Ukipiga hesabu ya kawaida kwa wastani wa kila mtu awe ametoa buku (1,000) tu maana yake ni watu 70,000 katika hii TZS 70,000,000 iliyokwisha kuchangwa wametoa kwa siku mbili tu..!!

Hii kampeni ikifanyika vizuri na kufika mpaka vijijini, na kila baada ya siku mbili watu wapya 70,000 wawe wanatoa tonetone lao, kwa siku 60 jumla ya watu 2,100,000 watakuwa wamejitokeza kuchangia...

Ikifika ile 334,000,000 maana yake ni kuwa, jumla ya watu 334,000 kwa wastani wa kila mtu atoe buku tu, ndio watachanga pesa hii. Hii sio mchezo bali ni nguvu kwelikweli ya umma...!

Hiki ndicho asuchotaka Msajili wa Vyama vya Siasa Sisty Nyahoza. Lengo la ofisi hii wakala wa CCM ni kui - criple kabisa CHADEMA financially isiwe na uwezo wa kusimama..

Bahati mbaya kwao ni kuwa - HAIWEZEKANI, WAMESHINDWA KWA JINA LA YESU KRISTO. Ameeen🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

===================

HEBU TULINGANISHE NA MICHANGO YA CCM

​
Unaikumbuka ile harambee ya kuzuga na ya kimagumashi ya CCM siku chache kabla ya uchaguzi mkuu iliyofanyika Mlimani City ili wapewe bilioni 100 za uchaguzi...?

Ilihusisha wanachama wangapi kweli wa CCM...?

Ni mjinga wewe, huna kumbukumbu, ngoja nikukumbushe ili uwe na akili nzuri za kukupa ufahamu kuutumia kabla ya kubwabwaja hovyo...

Haikuhusisha wanachama wowote bali ilihusisha wafanyabiashara mafisadi kadhaa wasiozidi 100 na kutoa mabilioni kuinunua Serikali na chama chenu...

Hii ni ushahidi kuwa CCM hakina wanachama wala mashabiki au wapenzi wa kawaida ambao ndio wapiga kura...

Kama wewe hujui hili, bwana zako wanajua fika na ndio maana egemeo la survive (uwepo na uhai wa CCM) mpaka leo ni Polisi, TISS na mahakama. CCM ilishakufa, ipo ipo tu inapumulia mashine kwa shida kwa sbb ya kulindwa na kubebwa hivi vyombo...!!

Hata hivyo, the end is now..
 
Mkuu,usipoteze nguvu zako kuyajibu hayo matakataka.
 
Upande mmoja wanayo hoja ya msingi Chadema kinachangisha million 27 kwa siku 5. 🫡🫡

imagine

YANGA masaa machache million 40
Za jumba la Dhahabu👈

Na bado mnaamini Wananchi wapo upande wenu🫎🫎👈

wamewasikia na hawakupiga
kura. 🫎

Mana utasikia kwanza kachaguliwa nanani 🤠🤠
 
Weww jamaa ni bonge la tapeli sana tunakujua vizuri hauna kazi yoyote ni uchawa na ombaomba manaume mazima yamekuwa ombaomba njoeni kanda ya ziwa huku angalau mtahurumiwa kuchangiwa hat 500million
Mkilipwa buku saba mnaanza kujitoa akili. Kwani hata tukichanga ml 10 inakuuma nini? Si mmezoea CCM za kuchota na wale wanaofanya magendo nao?
 
Weww jamaa ni bonge la tapeli sana tunakujua vizuri hauna kazi yoyote ni uchawa na ombaomba manaume mazima yamekuwa ombaomba njoeni kanda ya ziwa huku angalau mtahurumiwa kuchangiwa hat 500million
Ndio maana mnavizia vijumba vya heche vya million 17 halafu mnavileta mitandaoni Kwa upumbavu wenu, majuha nyinyi.
 
Hujui usemacho wala ufikiricho masikini wa akili na ufahamu wewe...!!

CHADEMA INACHANGIWA NA WANANCHI WA KAWAIDA WA CHINI KABISA, WAPIGA KURA HALISI KWA HIARI. CCM HULAZIMISHA WAFANYABIASHARA MAFISADI WAIPE PESA NA HIVYO KUJIUZA KWAO KWA MABILIONI!!​

CHADEMA inachangiwa na watu wa kawaida kabisa kwa kutoa 100 au 200 au 500 au 1,000 au 5,000 tu

Ukipiga hesabu ya kawaida kwa wastani wa kila mtu awe ametoa buku (1,000) tu maana yake ni watu 70,000 katika hii TZS 70,000,000 iliyokwisha kuchangwa wametoa kwa siku mbili tu..!!

Hii kampeni ikifanyika vizuri na kufika mpaka vijijini, na kila baada ya siku mbili watu wapya 70,000 wawe wanatoa tonetone lao, kwa siku 60 jumla ya watu 2,100,000 watakuwa wamejitokeza kuchangia...

Ikifika ile 334,000,000 maana yake ni kuwa, jumla ya watu 334,000 kwa wastani wa kila mtu atoe buku tu, ndio watachanga pesa hii. Hii sio mchezo bali ni nguvu kwelikweli ya umma...!

Hiki ndicho asuchotaka Msajili wa Vyama vya Siasa Sisty Nyahoza. Lengo la ofisi hii wakala wa CCM ni kui - criple kabisa CHADEMA financially isiwe na uwezo wa kusimama..

Bahati mbaya kwao ni kuwa - HAIWEZEKANI, WAMESHINDWA KWA JINA LA YESU KRISTO. Ameeen🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

===================

HEBU TULINGANISHE NA MICHANGO YA CCM

​
Unaikumbuka ile harambee ya kuzuga na ya kimagumashi ya CCM siku chache kabla ya uchaguzi mkuu iliyofanyika Mlimani City ili wapewe bilioni 100 za uchaguzi...?

Ilihusisha wanachama wangapi kweli wa CCM...?

Ni mjinga wewe, huna kumbukumbu, ngoja nikukumbushe ili uwe na akili nzuri za kukupa ufahamu kuutumia kabla ya kubwabwaja hovyo...

Haikuhusisha wanachama wowote bali ilihusisha wafanyabiashara mafisadi kadhaa wasiozidi 100 na kutoa mabilioni kuinunua Serikali na chama chenu...

Hii ni ushahidi kuwa CCM hakina wanachama wala mashabiki au wapenzi wa kawaida ambao ndio wapiga kura...

Kama wewe hujui hili, bwana zako wanajua fika na ndio maana egemeo la survive (uwepo na uhai wa CCM) mpaka leo ni Polisi, TISS na mahakama. CCM ilishakufa, ipo ipo tu inapumulia mashine kwa shida kwa sbb ya kulindwa na kubebwa hivi vyombo...!!

Hata hivyo, the end is now..
Usipoteze muda kuelimisha mpumbavu
 
Back
Top Bottom