Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
- Thread starter
- #41
Mungu amzidishieKuna mwanangu hapa asubuhi kaniambia anaweka 200k from manyoni hapa
Mungu amzidishieKuna mwanangu hapa asubuhi kaniambia anaweka 200k from manyoni hapa
Usiache kuchangia, tunapokea hata Mia 2Asante kwa taarifa
Ooh sawa asanteUsiache kuchangia, tunapokea hata Mia 2
hata hiyo alfu moja hakuna kwanza nyinyi mnalalama mitandaoni tu wakati hata mia mbovu hamtoiHela chafu hazitakiwi. tunaithamini elfu moja iliyotoka kwa mtu msafi kuliko bilioni iliyotoka kwa fisadi. upo?
30 (THELASINI)Binafsi nachangia Chama changu nusu ya fedha chadema wamepata kwa siku 5
Kiukweli chadema inachekesha.
Taarifa za ndani mchango umefika milion 26 na sio 70 za porojo
Umeshabiwa kuwa hakuna mafisadi. Fisadi moja la CCM linaweza itoa hiyo pesa ndani ya dakika 10.Kama mngekuwa na wanachama active tu laki moja wakatoa 1000 mngekuwa na 100 million ila kwa sababu nyie ni waongo na sidhani kama wanachama wetu wanafika hata elfu 50, ni aibu sana mmepoteza credibility inaongesha chama chenu kinaungwa mkono na wajinga wachache sana jitathmini sana million 300 ilikuwa ya siku moja tu tena masaa mawili tu
CHADEMA haina wanachama Sasa kwanini hamtaki katiba mpya na tume huru ya uchaguzi?Kama mngekuwa na wanachama active tu laki moja wakatoa 1000 mngekuwa na 100 million ila kwa sababu nyie ni waongo na sidhani kama wanachama wetu wanafika hata elfu 50, ni aibu sana mmepoteza credibility inaongesha chama chenu kinaungwa mkono na wajinga wachache sana jitathmini sana million 300 ilikuwa ya siku moja tu tena masaa mawili tu
Haichangiwi na wauza unga, bali wananchi masikini.Kama kweli mnapendwa na nchi nzima ilitakiwa iwe billioni 70 sio milioni 70 kwa siku 5
Jnyie si vibaka mana hionela inaweza kutolewa na kibakanwenu mmoja. Imagine mtu mmoja anaweza kuliibia taifa 1billion mtashindwa kuchanga kwa kishindo muwacheke chademaKama kweli mnapendwa na nchi nzima ilitakiwa iwe billioni 70 sio milioni 70 kwa siku 5
Chadema sio genge la mafisadi hiyo yanga inaongozwa na nan au hujui kuwa viongozi wake ni ccm ambayo ni mafisadi, matekaji na mafiraji. By the way usilinganishe chadema na goons.
Mungu amzidishie
Usiache kuchangia, tunapokea hata Mia 2
Usiache kuchangia, tunapokea hata Mia 2
kwamba wamekwambia ukauze hundu lako na wewe ukafanya hivyo?Nyie ni waongo matapeli kuliko hata CCM yanahongwa na kuhubiri ushoga mashenxi nyie mbwa koko
yooh jua kwamba zinatoka kwa watu wasiotaka kujulikana kama walichanga, wasiotaka favour yoyote mbeleNIapo unatakiwa ulie 🤣 mil 70 nchi nzima
Acha maelezo mengi, kiuhalisia hata hio mil 70 tunawajua vizuri kwa taarifa za uongo! wewe unachangisha vp nchi nzima mil 70, maana yake ushawishi wako umeishayooh jua kwamba zinatoka kwa watu wasiotaka kujulikana kama walichanga, wasiotaka favour yoyote mbeleNI
Just writting history in their HEARTS, simply pure PASSION