Sipati picha kama hiki chama kingepewa nchi,halafu kati ya wabunge wanaodai kununuliwa mmoja angekuwa waziri wa ulinzi,mwingnne waziri wa mambo ya ndani,sijui Tanzania ingekuwa wapi kwa mfano.
inavyoonekana kuna vyama haviandai wanachama wao kuwa viongozi,na wanapopata uongozi bado hawbndaliwa kuwa viongozi.
ni hatari sana kwa nchi kuwa na watu wanaonunulika huku vyama vyao vikiwaamini.
kama mnataka nchi basi andaeni kizazi kipya cha viongozi.
kuweni na wanachama chipukizi watakaolelewa ktk misingi na itikadi ya kuamini vyama vyao.
SIASA NI KUJIPANGA,UKIKOSEA MCHEZO UMELIWA.[/QUOT
Shida hapa sio chama but ni simplicity & cheapness ya watanzania kwa sasa!! Prof na PHD wananunulika, in fact every Tanzanian kwa sasa ananunulika kirahisi tu la Tundulis au Mbowe watashindikana. We jamaa ni wa ajabu sana!!!! Unashangaa nini?? Kwani wale wabunge wote wa chama walionunuliwa kwa 10 m kupitisha mswada, mawaziri wa mambo ya ndani na nje hawakuwemo?