Tetesi: Siku 7 Zijazo Mbunge Mwingine wa Babati kutimkia CCM

Tetesi: Siku 7 Zijazo Mbunge Mwingine wa Babati kutimkia CCM

Status
Not open for further replies.
Kwa maana hiyo wangekosa vya kuuza?
Utauzaje kitu ambacho kishauzwa na serikali ya ccm tena kwa bei sawa na mbogamboga kama vile nyumba za serikali zilivyouzwa kama matikiti maji na mtukufu mwenyekiti wa ccm wa sasa.
 
Utauzaje kitu ambacho kishauzwa na serikali ya ccm tena kwa bei sawa na mbogamboga kama vile nyumba za serikali zilivyouzwa kama matikiti maji na mtukufu mwenyekiti wa ccm wa sasa.
Kumbe ni wauzaji km wa ccm?
 
Wewe nawe kumbe bolizozo kwani hujui hivyo vyote vishauzwa na serikali ya ccm, au mwenzetu nawe bendera ya chama unapepea polepole akisema.
Je hawa watumwa wanaojiuza saiz wangeweza kukomboa Mali zilizouzwa na ccm kweli?
 
Chadema sasa WANAKACHA chaguzi ndogo,cjui uoga wa KUINAMISHWA????[emoji16]
 
Chadema haina cha kuuza sababu haijahodhi rasimali za wananchi na kuzifanya zao kama ccm so hilo swali ungemuuliza polepole angekujibu.
Wanaonunuliwa wanajiuza so wangechukua madaraka wangeuza rasilimali zetu kama ccm lkn kwa kuwa ccm wameshamaliza vyote wangetafuta vya kuuza ndipo tulipofikia right?
 
unawashangaa wabunge chadema kuuza ubunge wakati ccm waliuza migodi yote kwa wageni kwa hasara kubwa kwa nchi,leo Magu anaonekana mkombozi kwa kudai madini yawanufaishe watz wakati ccm ndiyo iliyogawa kirushwa rushwa.
Sijapata hoja yako ni nn?Kwamba ni halali kwa wabunge wa upinzani kujiuza kama nyanya kisa ccm waliuza nchi au hoja ni nn?Sasa kama watu tunaowategemea wawe mbadala wa ccm lkn nao wanakuwa na tabia za ccm kuna umuhim kweli wa kuitoa ccm madarakani?Kwanini tusiendelee kuichagua ccm kwa kutumia methali ya zimwi likujualo halikuli likakumaliza?
 
Je hawa watumwa wanaojiuza saiz wangeweza kukomboa Mali zilizouzwa na ccm kweli?
Hili swali ni la kumuuliza mnunuaji watumwa je anawanunua kwa faida ya chama au kuogeza mizigo.
Mtumwa huwa anajikomboa mwenyewe lakini wanunua watumwa huwa wanaishia pabaya ikiwemo kudhulika na watumwa waliowanunua.
 
Chadema kuna soko la watumwa?
 
Wanaonunuliwa wanajiuza so wangechukua madaraka wangeuza rasilimali zetu kama ccm lkn kwa kuwa ccm wameshamaliza vyote wangetafuta vya kuuza ndipo tulipofikia right?
Kununuliwa na kujiuza ni vitu viwili tofauti..na huwezi izungumzia chadema katika kuuza rasilimali ikiwa bado hata haijashika hatamu ya kuongoza nchi ,tunazungumzia yule ambaye ameshikilia nchi kwa miaka mingi na bado anampango wa kuua upinzani ili aendelee kuhodhi mali na kuziuza kwa watu wengine kwa mwamvuli wa uzalendo.
 
Sipati picha kama hiki chama kingepewa nchi,halafu kati ya wabunge wanaodai kununuliwa mmoja angekuwa waziri wa ulinzi,mwingnne waziri wa mambo ya ndani,sijui Tanzania ingekuwa wapi kwa mfano.
inavyoonekana kuna vyama haviandai wanachama wao kuwa viongozi,na wanapopata uongozi bado hawbndaliwa kuwa viongozi.
ni hatari sana kwa nchi kuwa na watu wanaonunulika huku vyama vyao vikiwaamini.
kama mnataka nchi basi andaeni kizazi kipya cha viongozi.
kuweni na wanachama chipukizi watakaolelewa ktk misingi na itikadi ya kuamini vyama vyao.
SIASA NI KUJIPANGA,UKIKOSEA MCHEZO UMELIWA.
Tatizo ni mnunuzi na si mnunuliwa
 
Wakiona Mwenyekiti wao amelamba ruzuku, wao wanalamba za pembeni.
 
Sisiem walivyo wajinga wanahisi wataua upinzani kwa kununua wabunge wa upinzani,ameondoka Slaa Chadema haijafa ndo ife leo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom